Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

Mmekaa seblen kwa waume za shemej zenu mmenunuliwa bando mnakuja kuandisha upuuz jf
 
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M.

Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam.

Dirisha lilopita.
Kwenye mkataba wa Feisal kuna kipengele kua kama atauzwa kwenda club yoyote ya ndani basi young Africans itanufaika kwa kupewa 1B za kitanzania.

Pia Feisal ana Bonus kila goli kumi atakazoifungia Azam Fc kwenye mashindano yote.

Atapewa 25M na Mshahara wake analipwa kama jeshi kati Kati ya mwezi (8M) na mwishi 8M huku akiwa na bonus ya 1M per game na 2M per big game achana na bonus za kufunga na Assit.

Kijana ilikua haki tu kuondoka Young Africans haya ni maisha.

View attachment 2987828
subiri tu,atachuja na atafukuzwa
 
mnavyozitamka hizo fedha kama magazeti tu! ati mil 8 katikati mil 8 mwisho,bil 1 mil 2!! haha! halafu baadae akija kuugua mtu mbakuli mkubwa kweli unapita! sijawahi kuelewa nini dhima yakutajataja hizo pesa!
Wabajifurahisha vijana wa sasa. Yeye hana hata mia mbovu mfukoni alafu Azam atoe pesa zake tu hovyo hovyo. Utawasikia akina sinza pazuri eti Dayamond kamnunulia yule dogo anayetembea kwa kupepesuka cheni ya Tsh 150,000,000. Wanadanganyika sana hawa Vijana na kuona pesa inapatikana kirahisi rahisi ndio maana wanashinda kubet wakikosa wanapasuliwa mayai na wajuba.
 
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M.

Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam.

Dirisha lilopita.
Kwenye mkataba wa Feisal kuna kipengele kua kama atauzwa kwenda club yoyote ya ndani basi young Africans itanufaika kwa kupewa 1B za kitanzania.

Pia Feisal ana Bonus kila goli kumi atakazoifungia Azam Fc kwenye mashindano yote.

Atapewa 25M na Mshahara wake analipwa kama jeshi kati Kati ya mwezi (8M) na mwishi 8M huku akiwa na bonus ya 1M per game na 2M per big game achana na bonus za kufunga na Assit.

Kijana ilikua haki tu kuondoka Young Africans haya ni maisha.

View attachment 2987828
Kijana alinyanyasika Sana huyu kule dimbwini.....
 
Kwanza labda nijue ni al ahly ipi? National au kuna nyingine?

Ahly ya misri bingwa mtetezi iliyocheza na simba robo fainali ndiyo nataka nijue.. uwanja wake upo wapi na waliutumia kucheza mechi gani kubwa mara ya mwisho.

Maana inavyofahamika al ahly amekodi uwanja unaomilikiwa na serikali ya misri kuchezea mechi zake.

Mpangaji sio mwenye nyumba
 
Haya sawa
 
Kinyonge sana[emoji1]

Tatizo walijua hata wakitudanganya hatujui ukweli. Internet haifichi ukweli.

Hawa ndio wale walituaminisha mamelodi ni bonge la timu litamfunga yanga goli kumi.. kumbe mamelodi mwenyewe mjanja mjanja.

Hata leo wameshangaa kugundua hata mamelodi mwenyewe hana uwanja wake bali anakodi uwanja wa rugby kuchezea mechi zake
 
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M.

Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam.

Dirisha lilopita.
Kwenye mkataba wa Feisal kuna kipengele kua kama atauzwa kwenda club yoyote ya ndani basi young Africans itanufaika kwa kupewa 1B za kitanzania.

Pia Feisal ana Bonus kila goli kumi atakazoifungia Azam Fc kwenye mashindano yote.

Atapewa 25M na Mshahara wake analipwa kama jeshi kati Kati ya mwezi (8M) na mwishi 8M huku akiwa na bonus ya 1M per game na 2M per big game achana na bonus za kufunga na Assit.

Kijana ilikua haki tu kuondoka Young Africans haya ni maisha.

View attachment 2987828
Azam ni wehu, kwa malipo hayo wangiweza kupata Mshezaji au wachezaji wenye uwezo zaidi ya Fei na akaileea timu matokeo
 
IMG_20240512_090705.jpg
 
Back
Top Bottom