Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

Kama Azam wamefanya hivyo ni wajinga kwenye mpira hawajui value for money.

Kwa mshahara huo na benefits hizo wangesogea Congo hapo ama nchi za west africa wangepata bonge la mchezaji.

Timu kama Mazembe, Enyimba ,Asec mimosas zina watu kibao wanaujua kuliko Fei toto hawalipwi hivyo na wala hawapati hizo benefits
Kwa Hiyo ela wangepata wachezaji 2 au 3 wenye Kiwango kuliko fei .
 
Back
Top Bottom