Kama Azam wamefanya hivyo ni wajinga kwenye mpira hawajui value for money.
Kwa mshahara huo na benefits hizo wangesogea Congo hapo ama nchi za west africa wangepata bonge la mchezaji.
Timu kama Mazembe, Enyimba ,Asec mimosas zina watu kibao wanaujua kuliko Fei toto hawalipwi hivyo na wala hawapati hizo benefits