Insider Boy
Senior Member
- Aug 5, 2015
- 189
- 309
Welcome [emoji1666]Asante Ismoo kwa ushauri..
Asante kwa ushauri NyamwageKwa hardware hiyo pesa ni chache tafuta frame maeneo yaliyo changamka kama maeneo ya stend au sokoni na uuze simu za batani na smart phone za kuanzia 100k mpaka 280k uweke na vifaa vya simu na vitu vidogo vidogo vya electronic kama Bluetooth speaker na vingine vidogo vidogo pesa ikibaki unaweza ukaweka na huduma ya M-pesa. Note usiweke pesa yote kwenye biashara utafeli
Kabla sjakushauri naomba kukuuliza hizo hela ulizo nazo ndo utategeme mahitaji yote hapo hapo au una vyanzo vingine vya uhakika vinavyokuingizia kipato?Habarini wakuu..
Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wap naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa Dsm na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia..
Ahsanteni.. nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa biashara hii..
Asante sana Mkuu whiteskunk kwa kunitia moyo.. nitazingatia ushauri wakoInategemea maeneo uliyiopo, unaweza kufungua hardware ndogo ukaikuza taratibu, ila uwe na adabu faida irudi dukani mpaka mtaji ukue.
Yupo rafiki yangu alifungua duka la spear na milioni 3 saivi zinakimbilia 15, disciple ndo kila kitu.
Wanaokuambia pesa ni kidogo waambie wakuongezee.
Kabla sjakushauri naomba kukuuliza hizo hela ulizo nazo ndo utategeme maitaji yote hapo hapo au una vyanzo vingine vya uhakika vinavyokuingizia kipato?
Ndio mkuu.. nipo interested na biashara hii.. ndo nataka nianze nayo mdogomdogo nikiwa bado npo home sijapanga bado..Kabla sjakushauri naomba kukuuliza hizo hela ulizo nazo ndo utategeme maitaji yote hapo hapo au una vyanzo vingine vya uhakika vinavyokuingizia kipato?
Nimekuja pm,utakutana na ushauri wangu hukoNdio mkuu.. nipo interested na biashara hii.. ndo nataka nianze nayo mdogomdogo nikiwa bado npo home sijapanga bado..
Habarini wakuu,
Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wap naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa Dsm na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia.
Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa biashara hii.
Shukran kwa ushauri mkuuUnaeza kuanza kidogokidogo, mfano ukaanza na vifaa vya umeme baadhi au vifaa vya plumbing au vingine vyovyote
Milioni 7 unaweza vizuri sana tu. Uanzishaji wa biashara ya H/waee una model tofauti tofauti. Maarufu ni 2 ambazo ni.Habarini wakuu,
Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wap naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa Dsm na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia.
Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa biashara hii.
Habarini wakuu,
Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wap naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa Dsm na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia.
Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa biashara hii.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako... kweli sijawahi kufanya biashara.. nitaanza na model #1 hapo maana nipo interested sana na hii biashara ya hardwareMilioni 7 unaweza vizuri sana tu. Uanzishaji wa biashara ya H/waee una model tofauti tofauti. Maarufu ni 2 ambazo ni.
1. Kuanza na mtaji mdogo na kuendelea kujaza kidogo kidogo.
2. Kuanza na mtaji mkubwa mfano 200M na kuendelea kuzungusha.
Usikubali kuelekea kwenye biashara ambayo sio ndoto yako kwa kushauriwa humu. Hapo ndio baadhi ya washauri hukosea. Badala ya kubaki kwenye ndoto yako, wanakujaza mawazo mapya ambayo huna road map yake akilini mwako.
Sio lazima unapoanza basi H/ware yako iwe na kila kitu.
Na kama hujawahi kufanya hiyo biashara basi model #1 ndio the best kwako.
Biashara fulani ni shule nyingine katika maisha. Ukianza kidogo ndio utaelewa cha kufanya na cha kuweka katika eneo ulilochagua.
Unakuta eneo fulani, inabidi uweke vifaa vingi vya bomba na sanitary, eneo lingine utakuta itabidi uweke vifaa vingi vya umeme, eneo lingine itabidi uweke vifaa vingi vya ujenzi kama cement, chokaa, nondo na vifaa vya mafundi, Eneo lingine utakuta inabidi uweke labda vifaa vya steel and metals kwa wingi.
Pamoja sana. Usiogope. Hakunaga pesa inayotosha kuanzisha kitu. Hata huo mtaji wako ungekuwa ni 700M badala ya 7M, bado tu usingeweza kuweka kila kitu.Asante sana mkuu kwa ushauri wako... kweli sijawahi kufanya biashara.. nitaanza na model #1 hapo maana nipo interested sana na hii biashara ya hardware
Shukrani mkuu kwa kunitia moyomsimuache huyu jamaa .. nyie wote wenye ushauri mzuri. Please.
Ambao hamna ushauri sijui hela ndogo naomba msicoment jamani. 7 ml is good for a start jamani.