25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Nilivyomuelewa kasema huo ndio mtaji tuKabla sjakushauri naomba kukuuliza hizo hela ulizo nazo ndo utategeme maitaji yote hapo hapo au una vyanzo vingine vya uhakika vinavyokuingizia kipato?
Lakini mbona huo unatosha kwa kuanzia tu afungue pembeni watu wanakojenga sana fano Bunju kwandani, Goba, Mbezi juu, Makongo, Chanika lakini azame ndani zaidi