Biashara ya Internet mtaani

Mkuu

Dah mkuu una madini sana ila namna ulivyowasilisha nimerudia kusoma sijakuelewa kabisa, unaweza ukatulia utushushie nondo vizuri mkuu kutupa maarifa zaidi au kama kuna anaeelewa zaidi kwa msaada wa weng

Asante kwa taarifa nzuri. Naomba pia u share bei ya vifaa vinavyohitajika, kama tplink E110 au E225 ni kiasi gan dukani, wapi vinapatikana kirahisi.
Tplink Eap110 zinarange Sana SA 180,000 router km laki 20000 hivi wire 35000,Mbps50 mtandao mzr wakutumia ni voda then kama utanunua omada hardware Hiyo ni 395000 ila kama huna Hiyo pesa bas tafuta pc download omada software so ni router+wire+pc au omada hardware+access point tplink Eap 110 km kianzio ila km unmtj mzr nunua kubwa yake km unashida na kusajili lain za router nichek inbox nasajilia 10000 Tu afu andaa na location Safi Anza business au km uko karbu na nakaz nayo kaa mm tunawez tukapang pakukutn tujadili wasap namba 0750649411.
 
Mkuu

Dah mkuu una madini sana ila namna ulivyowasilisha nimerudia kusoma sijakuelewa kabisa, unaweza ukatulia utushushie nondo vizuri mkuu kutupa maarifa zaidi au kama kuna anaeelewa zaidi kwa msaada wa wengi
Tplink Eap110 zinarange Sana SA 180,000 router km laki 20000 hivi wire 35000,Mbps50 mtandao mzr wakutumia ni voda then kama utanunua omada hardware Hiyo ni 395000 ila kama huna Hiyo pesa bas tafuta pc download omada software so ni router+wire+pc au omada hardware+access point tplink Eap 110 km kianzio ila km unmtj mzr nunua kubwa yake km unashida na kusajili lain za router nichek inbox nasajilia 10000 Tu afu andaa na location Safi Anza business au km uko karbu na nakaz nayo kaa mm tunawez tukapang pakukutn tujadili wasap namba 0750649411.
 
Dar kariakoo unaweza pata au download application unaitwa jiji ingia mle visearch
 
Asante kwa taarifa nzuri. Naomba pia u share bei ya vifaa vinavyohitajika, kama tplink E110 au E225 ni kiasi gan dukani, wapi vinapatikana kirahisi.
Dar kariakoo unaweza pata au download application unaitwa jiji ingia mle visearch
 
Think ilike a capitalist and commoditize the idea. Weka mpango kazi, tafuta mtaji kisha ingia field kuifanya iwe uhalisia. Simple
 
Hicho apo ni omada cloud controller πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20240817-011138.png
    856 KB · Views: 29
Hicho ni tplink Eap110 outdoor vipo vya indoor pia hicho pia kitatumika πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20240817-010941.png
    1.2 MB · Views: 30
Kiongoz naomba namba yako
Bro hizo router za Vodacom Airtel tigo zmetengenezwa Kwa matumiz ya nyumbani ofisin n.k make ndo maan zikaitwa homebroad band Yan hazina security kwenye ishu ya biashara Kwa mfano unafanya biashara ya WiFi ukitaka kumconnect mtu umpe password kumbuka akishaweka password Tu bas na grcode ya router anapata so kirahis kuhotspot mwingine Aya tusome umeweka limit Sawa my be watu 10 Tu kumbuka ukiweka limit Hiyo nayo hua inapunguza nguvu ya router Sana then itakulazim uwe unabadili password kila MDA ambayo so nzr utasumbu wateja afu pia itakua ngumu kwenye kumonitor wateja njoo nkufunze namna yakufanya WiFi business usifanye ili Tu kufurahisha watu Amna Fanya business kweli kweli hight security monitoring nzr hapo ndo utawez
 
Hiyo hapo router ya 4g ila ukipata 5g ndo nzr zaid πŸ‘‡hakikidha ina access point mode
 
Attachments

  • Screenshot_20240817-011039.png
    615.1 KB · Views: 24
Hapo kwenye router+wire+pc, inamaanisha utakuwa na router mbili; yaani ya vodacom kama ISP na ya tp-link kwaajili ya ku control trafic? Ufafanuzi tafadhali.
Asante.
 
Amna u
Hapo kwenye router+wire+pc, inamaanisha utakuwa na router mbili; yaani ya vodacom kama ISP na ya tp-link kwaajili ya ku control trafic? Ufafanuzi tafadhali.
Asante.
Takuwa na router moja Tu ya tplink hapo utakua unaangalia kwenye status na kunavitu utakua unavifany kukabiliana na traffic km Ku upgrade kufaa kukirestart kianze afresh n.k
 
Amna u
Hapo kwenye router+wire+pc, inamaanisha utakuwa na router mbili; yaani ya vodacom kama ISP na ya tp-link kwaajili ya ku control trafic? Ufafanuzi tafadhali.
Asante.
Takuwa na router moja Tu ya tplink hapo utakua unaangalia kwenye status na kunavitu utakua un
Hapana hii njia unayotumia wewe sio nzr nakataa kbs make hata mm nmeuza WiFi sana
 
Wakuu mtafurahi mbona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wateja wanalipiaje?
Ni kabla ya kutumia au mwisho wa mwezi..je akitumia na asilipe mwisho wa mwezi itakuwaje?
Ndo maana kukawepo na kitu kinaitwa WiFi management system hicho ni kitu kizr Sana kukijua before Kuanzia hii bizness na pia inahasara zake usipokua na umakini na ujuzi
 
Hahahahaha hebu nipe unachojua khs hii biashara ya WiFi, mtaani
Ukisema uchukue router Kwa mfano ya voda au Airtel au hata tigo hiz router hazina security kubwa Sana Kwa mfano Una router unabeba watu 64 unakonect mmoja kuna kitu kinaitwa qr code kwenye router mtu anawez kuscan Kwa mtu uliemkonect bila ww kuruhusu
 
Na hakuna options za kuzuia mtu ku connect mpk wewe uruhusu ? Na kama ana connect hkn options ya kumzuia
 
Na hakuna options za kuzuia mtu ku connect mpk wewe uruhusu ? Na kama ana connect hkn options ya kukweny
Kwenye router kuna kitu kinaitwa blacklist na whitelist. blacklist inamana kwamba unblock Mac adress ambazo zmeingia kwenye router kimakosa na whitelist unaadd Zile macadress badala yakuziblock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…