Biashara ya Internet mtaani

Biashara ya Internet mtaani

Ili wazo nilitoa mwezi wa 9/10 kwenye group langu la whatsapp namna ya kupiga pesa kwa kutumia modem ya voda ya 5G. Modem ya voda inafika 200m kutokana na maelezo yao, unaweza ukatafuta sehem yenye mkusanyko wa watu ukafungua hii biashara ambayo mtu anaweza ku access internet ndani ya 200m.

Dada mmoja kwenye group aliipenda sana hii idea na kuchukua hatua na sasa anafanya kwenye mkoa alipo. Modem ya voda inatoa vifurushi tofauti kwa yule dada kaanza na speed ya 30mbs ambacho kwa mwezi ni 150k.

Voda wanatoa modem bure ila unaingia mkataba wa miezi miwil , modem inauwezo wa host device 64.
Kuzuia watu wasishare password, unaweza kufanya configuration kwenye router kwa kuwapa access wale tu ambao umewaunga na kuwapa access na ku assign mac address ya simu au device ili kuzuia new device isiweze ku access internet bila kulipia au kupewa access.
Ok ,naanza kupata picha ya hii kitu, sasa hapo unaqachaji bei gani hao watu kwa siku au masaa ?
 
Modem ni bure, kifurushi unachagua wewe kulingana na matmizi yako, ila kama umejipanga vizuri unaweza anza na speed 30mbs ambapo utalipia miezi 2 . Kama uko vizuri sana unaweza kuanza na 300mbs kama umefanya utafiti vizuri ukaona kuna uhitaji mkubwa zaidi. Hii side hustle inafaa zaidi sehem yenye mkusanyiko mkubwa sana wa raia especially stand au sokoni.

Min capital 1M ukitaka ufanye kwa kujiachia bila stress.
Naongezea hoja.

Unafanya uswazi, then unawapa technical support kwa ajili ya kimambi app., telegram account na instagram
Kwa siku 1500.
 
Unaweza ukacharge kwa BUKU au ukaweka subscription business model kwa kuwacharge kwa siku 30. Unaweza uka apply decoy price kwa kuvuta wateja kwenye gharama kubwa ili upige kibunda kila mwezi, mfano unaweza sema:

1. Kwa siku 1000(Mteja anaona kwa mwezi 30k)
2. Kwa siku 30 weka 20k(Mteja anafanya comparison ya 30k, ko anaona nafuu sana anaish umo)

Kwa kuwavurga uko unajikuta unakunja kibunda kila mwezi kwa wateja kukwepa buku buku za kila siku.
 
Hii business naitaka ,sasa naomba ushauri mtandao upi uko vzr zaidi, kwa hii biashara , nina kibunda hapa nataka kifanye hiki kitu
 
Naongezea hoja.

Unafanya uswazi, then unawapa technical support kwa ajili ya kimambi app., telegram account na instagram
Kwa siku 1500.

mwana anakuwa zake geto anaperuzi bila kikomo siku nzima so powa. Binadamu anapenda uhuru , akikosa uhuru ana furaha tena. Ni rahisi sana mtu kutoa BUKU kuperuzi bila kikomo ndani ya masaa 24.

Ni bonge la uhuru ambao wengi watafurahia kitaan kwenu.
 
hadi 100 wanazo voda
Safi iko vzr ,hii kitu naifanyia kazi nijuie gharama zake ,router bei gani napata mbs ngapi na kisha nijue nachaji vipi, kesho napita voda shop kuuliza vzr au unajua bei ya router na mbs nisaidie
 
1702466824313.png
 
Kwahiyo hapo kazi yako ni kujitangaza tu kwa watu ili wajue huduma unayo toa. Na ni kwa watumiaji wa Voda pekee si ndio?
mwana anakuwa zake geto anaperuzi bila kikomo siku nzima so powa. Binadamu anapenda uhuru , akikosa uhuru ana furaha tena. Ni rahisi sana mtu kutoa BUKU kuperuzi bila kikomo ndani ya masaa 24.

Ni bonge la uhuru ambao wengi watafurahia kitaan kwenu.
 
Modem ni bure, kifurushi unachagua wewe kulingana na matmizi yako, ila kama umejipanga vizuri unaweza anza na speed 30mbs ambapo utalipia miezi 2 . Kama uko vizuri sana unaweza kuanza na 300mbs kama umefanya utafiti vizuri ukaona kuna uhitaji mkubwa zaidi. Hii side hustle inafaa zaidi sehem yenye mkusanyiko mkubwa sana wa raia especially stand au sokoni.

Min capital 1M ukitaka ufanye kwa kujiachia bila stress.
Thanks with regards Sir...
 
Kwahiyo hapo kazi yako ni kujitangaza tu kwa watu ili wajue huduma unayo toa. Na ni kwa watumiaji wa Voda pekee si ndio?

Hapana, wewe unatoa huduma ya wifi ambayo haihusiana na mitandao ya simu.
 
Mdani mkuu naomba namba yako kwani mm project nishaianza ila nafanya manual, kuna sehem nimekwama. Namna ya kuuza vocha ili kuepusha wadau kuscaniana passwords, natamani sana kuoata mfumo wa kudhibiti hii
chief kwema naomba tushare idea nina project kama yako 0757279834
 
Back
Top Bottom