Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Asee hapa umesema juzi tu apa kabla ya sikukuu ya idi nimeingia k/koo kwamambo yangu mengine tu sinazikuta zimemwagwa kwene meza bei 6000 ,nikasema hizi Mwanjelwa situnajumlishiwa kwa 8000.? Nikajikusanyia kwa uwezo wangu kufika nazo Mbeya nami nikauza teni teni tu chap kwa haraka..
Safiiii mzee kuchangamkia fursa ni muhmu hii biashara sahv inatoa watu wengi sanaa
 
Mimi kununua Jezi ya bongo sidhani kama nitaweza maana nyingi ni feki utakuta matone tone ionekane nzito ,bora kama nitikata niagize kwenye websites official za timu nipate kitu Og kwa laki 4 au 2.
 
Mimi kununua Jezi ya bongo sidhani kama nitaweza maana nyingi ni feki utakuta matone tone ionekane nzito ,bora kama nitikata niagize kwenye websites official za timu nipate kitu Og kwa laki 4 au 2.
Aahhh mzee laki 2 or 4 mbona kubwa sana hata km kitu ni OG
 
Kwa Football mimi jezi nzuri kwangu ni
Man city light blue.
Man united ile ya kijani.
New castle.

NBA....ninazo LAKERS na Brooklyn.....
 
Wakuu hadi sasa msimu huu ni jezi za team gani zinazofanya vizuri.?
 
Asee hapa umesema juzi tu apa kabla ya sikukuu ya idi nimeingia k/koo kwamambo yangu mengine tu sinazikuta zimemwagwa kwene meza bei 6000 ,nikasema hizi Mwanjelwa situnajumlishiwa kwa 8000.? Nikajikusanyia kwa uwezo wangu kufika nazo Mbeya nami nikauza teni teni tu chap kwa haraka..
Naomba Tuwasiliane, Mkuu
 
Uzi Mzuri; Jersy zinatembea sana. Kwa Jumla unaweza kuwacheck iMart Discount Stores wana bei nzuri na quality nzuri sana unapiga hela kama upo mkoani. Namba zao ni 0778250300
 
Uzi Mzuri; Jersy zinatembea sana. Kwa Jumla unaweza kuwacheck iMart Discount Stores wana bei nzuri na quality nzuri sana unapiga hela kama upo mkoani. Namba zao ni 0778250300
Sawasawa kiongozi
 
Habari wanajamvi..

Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.

Kwa utafiti wangu mdogo nmeona jezi hizi zinapatikana kwa bei tofauti kutokana na eneo ila zina range kwenye 13k-25k kwenye maeneo mengi na jezi zinazouzwa sanaa ni za juu(t-shirt).

Ninachojiuliza ni kitu gani kimefanya biashara hii kukua kwa kasi kwenye miaka ya karibuni na ni wapi ambapo jezi hizi zinapotengenezwa na Je wahusika(timu za mpira wa miguu) wananufaika vipi na biashara hii.?
Kizazi cha wavaa jezi ni vijana wa hovyo sana. Wengi wao hawajitambui.
 
Kizazi cha wavaa jezi ni vijana wa hovyo sana. Wengi wao hawajitambuBro
Bro Jezi sahv zinavalika sana na kila aina ya mtu wenye nazo na wasio nazo, wajanja kwa washamba sjui upo dunia gan mzee
 
Kizazi cha wavaa jezi ni vijana wa hovyo sana. Wengi wao hawajitambui.
Unataka wote tuchomekee mashati mzee,, tshirt zenyewe siku hizi hazieleweki,, bora nijitupie zangu kajezi chini jinzi na ka raba simple basi unyama tu au vipi,,
 
Jamaa mshamba sana aisee, natamani kuona anachovaa yeye kitaa weekend kama hii,,
Bro Jezi sahv zinavalika sana na kila aina ya mtu wenye nazo na wasio nazo, wajanja kwa washamba sjui upo dunia gan mzee
 
Back
Top Bottom