Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Toka hapa acha uongoo jezi zinazouzika wolves namba Moja za man u zimedoda zipo kibao hapa kariakooHujui unachokiongea.....
Mimi siangalii mtaani nani amevaa nini..
Naangalia mahitaji ya jezi kwa ujumla....
Jezi ya Man U ndiyo imeuza sana na tumeigiza maranyingi China kwa idadi kubwa kuliko hizo Wolve....
Wolve haingii hata kwa Madrid Black....
Acha ubishi..