Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Timu ambazo Jezi zake zinauzika sana kwa sasa:-
1.Simba
2.Yanga
3.Wolves(Astropay ya Njano sanasana)
4.Al-Nassr
5.Mamelodi sundown
6.Real Madrid
7 Inter miami
8.Azam(Nyeupe na ile ya Njano)
9.Zanzibar Heroes
10.Manchester United(Team Viewer) etc

Unaeza ukaongeza hapo chini timu zngne zilizosahaulika..
Arsenal
Newcastle
Everton
Ajax

Uzi unaovaliwa sana kwa sasa ni wa inter miami.
 
Habari wanajamvi..

Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.

Kwa utafiti wangu mdogo nmeona jezi hzi znapatikana kwa bei tofauti kutokana na eneo ila zina range kwnye 13k-25k kwny maeneo mengi na jezi zinazouzwa sanaa ni za juu(t-shirt).

Ninachojiuliza ni kitu gani kimefanya biashara hii kukua kwa kasi kwenye miaka ya karibuni na ni wapi ambapo jezi hzi zinapotengenezwa na Je wahusika(timu za mpira wa miguu) wananufaika vipi na biashara hii.?
Mbagala zipo hadi za 5000
 
Jezi zinauzwa kkoo buku nane mchina anauza buku mbili jero bei ya jumla, usishangae ukienda mbagala ukakuta inauzwa buku tano
 
Back
Top Bottom