MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Hao wanaotengeneza wana Kibali kutoka timu husika au ndo janjajanja inakua
Jezi za timu za nje kuuza bongo hazihitaji vibali.
Jezi za simba na yanga tu ndio kufoji ni msala.
Jezi za timu za ulaya ni mojawapo ya business inayotajirisha sana wakinga kariakoo.
Mfano jezi za mamelodi tu msimu huu bongo zimeuzwa zaidi ya pcs laki moja. Na hapo mamelodi hawajapata hata senti moja
Jiulize mkinga alieziiingiza nchini kapiga hela bei gani ?