Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Basi zitakua ndo hzohzo tu km za huku mikoani tunazouziwa 12,13k
Mikoani ni bei hiyo kweli, nilienda dodoma kipindi Fulani nikakuta wanauza 15 haipungui nikiangalia ninazo kwenye begi mbili nimeokota kwa elf8 kkoo
 
Mikoani ni bei hiyo kweli, nilienda dodoma kipindi Fulani nikakuta wanauza 15 haipungui nikiangalia ninazo kwenye begi mbili nimeokota kwa elf8 kkoo
Yaaa bei znategemea na mkoa ila hata hvo Dom naona kwny mambo ya nguo bei zimechangamka kdogo hata hvo
 
Hiyo data zaidi ya laki moja umeitoa wapi?
Jezi za timu za nje kuuza bongo hazihitaji vibali.

Jezi za simba na yanga tu ndio kufoji ni msala.

Jezi za timu za ulaya ni mojawapo ya business inayotajirisha sana wakinga kariakoo.

Mfano jezi za mamelodi tu msimu huu bongo zimeuzwa zaidi ya pcs laki moja. Na hapo mamelodi hawajapata hata senti moja

Jiulize mkinga alieziiingiza nchini kapiga hela bei gani ?
 
Timu ambazo Jezi zake zinauzika sana kwa sasa:-
1.Simba
2.Yanga
3.Wolves(Astropay ya Njano sanasana)
4.Al-Nassr
5.Mamelodi sundown
6.Real Madrid
7 Inter miami
8.Azam(Nyeupe na ile ya Njano)
9.Zanzibar Heroes
10.Manchester United(Team Viewer) etc

Unaeza ukaongeza hapo chini timu zngne zilizosahaulika..
Kwa timu za Nje ya Tanzania namba 1 ni
1: Manchester United ( Home kit), Man U haina mpinzani kabisa.
 
Siyo ushabiki...
uliza wauza jezi wa Jumla K.Koo...
Jezi inayo uza sana kuliko zote ni Man U red.
Acha uongo mzee jezi namba Moja ni ya wolves unaongelea ushabiki hapa yaani hiyo jezi ya man u ilivyo mbovu nani anaunue maana timu bovu na jezi mbovu
 
Acha uongo mzee jezi namba Moja ni ya wolves unaongelea ushabiki hapa yaani hiyo jezi ya man u ilivyo mbovu nani anaunue maana timu bovu na jezi mbovu
Hujui unachokiongea.....
Mimi siangalii mtaani nani amevaa nini..
Naangalia mahitaji ya jezi kwa ujumla....

Jezi ya Man U ndiyo imeuza sana na tumeigiza maranyingi China kwa idadi kubwa kuliko hizo Wolve....

Wolve haingii hata kwa Madrid Black....
Acha ubishi..
 
Back
Top Bottom