Uzuri wa hii jezi pamoja naile jezi yatimu ya mess rangi yapink kama muuzaji hutajuta nijezi inayotembea vibaya mno hata uwe na pics ngapi kuzikata nichap tu,raia wanaikubali balaa sio mabroh sio masisterImebidi mpaka niende Google kuangalia hiyo Jersey View attachment 2977702
Kwa bei hiyo ya 2500 mchina anatoa kuanzia pics ngapi mkuu?Jezi zinauzwa kkoo buku nane mchina anauza buku mbili jero bei ya jumla, usishangae ukienda mbagala ukakuta inauzwa buku tano
Safiiii mzee kuchangamkia fursa ni muhmu hii biashara sahv inatoa watu wengi sanaaAsee hapa umesema juzi tu apa kabla ya sikukuu ya idi nimeingia k/koo kwamambo yangu mengine tu sinazikuta zimemwagwa kwene meza bei 6000 ,nikasema hizi Mwanjelwa situnajumlishiwa kwa 8000.? Nikajikusanyia kwa uwezo wangu kufika nazo Mbeya nami nikauza teni teni tu chap kwa haraka..
Aahhh mzee laki 2 or 4 mbona kubwa sana hata km kitu ni OGMimi kununua Jezi ya bongo sidhani kama nitaweza maana nyingi ni feki utakuta matone tone ionekane nzito ,bora kama nitikata niagize kwenye websites official za timu nipate kitu Og kwa laki 4 au 2.
Kwan nini ulimpa mtu mwingine.No 3 ndo imekua vazi LA Taifa, kila mtu ako nayoo.
Hata mie nilinunuliwa, ila nlimpa mtu mwngne.
List nzurii ila hyo Man U kitaani naona km ni adimu kdogoKwa Football mimi jezi nzuri kwangu ni
Man city light blue.
Man united ile ya kijani.
New castle.
NBA....ninazo LAKERS na Brooklyn.....
Naomba Tuwasiliane, MkuuAsee hapa umesema juzi tu apa kabla ya sikukuu ya idi nimeingia k/koo kwamambo yangu mengine tu sinazikuta zimemwagwa kwene meza bei 6000 ,nikasema hizi Mwanjelwa situnajumlishiwa kwa 8000.? Nikajikusanyia kwa uwezo wangu kufika nazo Mbeya nami nikauza teni teni tu chap kwa haraka..
Sawasawa kiongoziUzi Mzuri; Jersy zinatembea sana. Kwa Jumla unaweza kuwacheck iMart Discount Stores wana bei nzuri na quality nzuri sana unapiga hela kama upo mkoani. Namba zao ni 0778250300
Kizazi cha wavaa jezi ni vijana wa hovyo sana. Wengi wao hawajitambui.Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa utafiti wangu mdogo nmeona jezi hizi zinapatikana kwa bei tofauti kutokana na eneo ila zina range kwenye 13k-25k kwenye maeneo mengi na jezi zinazouzwa sanaa ni za juu(t-shirt).
Ninachojiuliza ni kitu gani kimefanya biashara hii kukua kwa kasi kwenye miaka ya karibuni na ni wapi ambapo jezi hizi zinapotengenezwa na Je wahusika(timu za mpira wa miguu) wananufaika vipi na biashara hii.?
Bro Jezi sahv zinavalika sana na kila aina ya mtu wenye nazo na wasio nazo, wajanja kwa washamba sjui upo dunia gan mzeeKizazi cha wavaa jezi ni vijana wa hovyo sana. Wengi wao hawajitambuBro
Unataka wote tuchomekee mashati mzee,, tshirt zenyewe siku hizi hazieleweki,, bora nijitupie zangu kajezi chini jinzi na ka raba simple basi unyama tu au vipi,,Kizazi cha wavaa jezi ni vijana wa hovyo sana. Wengi wao hawajitambui.
Bro Jezi sahv zinavalika sana na kila aina ya mtu wenye nazo na wasio nazo, wajanja kwa washamba sjui upo dunia gan mzee