Hii nchi sasa tunakoelekea mi naona siko! Takriban radio zote zinachezesha kamari na ukifuatilia muda mwingi wa vipindi na niseme tu asilimia kubwa ya muda wao maudhui ni Kamari. Je, tunajenga taifa la namna gani ? Je, Serikali imeangalia inakuwaje hizi radio zinaruhusiwa kucheza kamari toka...
Kongole Kwa serikali yetu Kwa kufungia michezo hii ya kamari redio Kwa maana ilikua Na adhari kubwa Kwa vijana yani unakuta mtu hujala Na huna kitu unasikia mtu kashinda million 5 hii inaharibu psychological Kwa sisi wanyonge,yani mtu unadaiwa kodi afu mfukoni hata mia huna ghafla unaskia mtu...
Haiwezekani watu badala ya kuwahi makazini watu wanaamkia vijiweni, serikali iunde kikosi kazi kipige marufuku kushinda vijiweni bila sababu, vingnevyo tunaliweka taifa la watu wazembe na wasiojishugulisha na kazi za kutoa jasho, nimefanya uchunguzi watu wana poteza sana Muda vijiweni na kwenye...
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa...
Siku ya leo jumapili kukosa kifurushi kwenye king'amuzi baada ya kumaliza taifa ya habari ya usiku tu,mda wote matangazo ya kamari yanapishana na kubembelezwa kwa kuoneshwa walioshinda. Tatizo ni nini ?
Habari za asubuhi Wana jf Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee au wamama kujiingiza kwenye kamari,(kubeti) tatizo umasikini au ndo maendeleo ya soka nchini? Nakumbuka world cup last year kila mtu ni kubeti tu,ukikutana na wazee,wamama wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia Fulani...
Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi; Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea. #Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo. Wale...
1.KAMARI Ukiwa nchini tanzania ukisikiliza radio, kuangalia TV au kusoma magazeti sehemu kubwa ya maelezo ni kuhusu michezo ya kubahatisha.hivi kweli tunajenga jamii gani kwa maslahi ya nchi?serikali haiwezi kuweka mpango kuregulate shughuli za michezo ya kubahatisha au kuna watumishi...
Rasmi leo natundika daluga la kubeti. Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda. Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba...
Hii michezo ni hatari sana hasa kwa afya ya akili! Punyeto na kubeti huuathiri ubongo moja kwa moja bila kupindisha pindisha! Na ukiwa mhanga wa mambo hayo mawili, hivi vitu vitano (05) kwako ni kawaida sana, na huwezi kuepuka bila kuachana na uraibu huo.najua hujijuwi sasa fanya uchunguzi...