“Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari...
Huu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha...
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum. Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita. Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu...
Ndugu zangu Kwenye jukwaa hili nimeshuhudia hadithi na mikasa mingi watu waliyokutana nayo kabla na hata baada ya kujiunga mtandao huu mwaka 2014 hivyo kwanza nijipongeze kwa kufikisha miaka 10 kwenye hili jukwaa na miaka yangu hii kumi napenda kutoa stori fupi ya maisha yangu ambayo ni ya...
1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti. 2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti. 3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha...
Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi! Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kucomoka! Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli! Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale! Pia niwape pole...
Wakamalia leo niliona jamaa Kenya, anasema wanabeti Aviator lakini wakila hela nyingi akaunti zinafutwa. Kuna mmoja anasema alikula wakamwambia athibitishe yeye sio roboti. Hapa kwetu nakumbuka wakati nipo chuo kuna hii kampuni inawadhamini simba(hiyo hiyo inayokaa tumboni) jamaa flani...
Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
Hatimaye nimetimiza safari yangu ngumu niliyoianza Jumapili Kwa jumla ya game 25 pesa niliyoshinda kwa ujumla ni milion 46 ukitoa Kodi ambayo imekatwa salio langu limebaki milioni 45 kwenye account Asante Mungu kwa kuwapa wachezaji wa Simba afya njema mapambano yanaendelea. Milioni 45 zinaenda...
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.