mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,280
Mnada wa mwisho bei ilifika 3850 kwa kilonikitaka kununua ni shs ngapi kwa kilo msimu huu?
Asante mkuuMnada wa mwisho bei ilifika 3850 kwa kilo
Hiyo bei unayotaka kujua ni kwa mkoa gani? Mtwara au wapiNaomba kujua bei ya jumla kwa korosho zilizobanguliwa.
Hiyo bei unayotaka kujua ni kwa mkoa gani? Mtwara au wapi
Ok nipo dar njoo nkuuzie kwa 25k per kg zipo 11 kgMtwara na Lindi
Duh! Bei ya wapi hii?ZILIZOBANGULIWA KG 1, SH 35,000
Popote palimwapo zao hilo.Hiyo bei unayotaka kujua ni kwa mkoa gani? Mtwara au wapi
Muda mfupi Ni ile ya kuzaa kuazia miaka mitatu na kuendelea.Elezea kidogo kuhusu hiyo miche ya muda mfupi inaanza uzalishaji baada ya miaka mingapi ukiishaipanda.
Pia ninaomba unieleze kifupi korosho asilia, tangu kupanda hadi kuanza kuzalisha ni miaka mingapi?