Biashara ya korosho

Pori umechukua kwa sh ngapi na maeneo gani? Gharama za kulifyeka kwa ekari ni kiasi gani?

NB: forex is not gambling and is real Na kwa wasio forex ni njia ya kupata mitaji mikubwa.
 
Huo ni upeo mdogo sn wakufikir na kujisomea.. Eti Rais kapandisha bei ya KOROSHO toka aingie acheni kuchezewa akili kwa nini asipandishe PAMBA mwaka wa 7 sahv inazidi kuporomoka na anatoka kanda ya Ziwa.
Mimi nafanya biashara hizi za mazao ya biashara. Korosho. Pamba. Kahawa. Tumbaku. Bei zinapangwa na masoko ya dunia kwenye minada yao Landon, Usa.
Korosho bado sokoni India ipo juu demand kubwa serikali ipange bei inanua wao? Wanunue Tumbaku au Mbaaz bhasi zinaozea shamban.
 
Kula 5 mkuu
 
Mkuu Nipe ABC za zao la kahawa
Unanunuaga kavu au mbivu toka kwa wakulima?
Na Soko lako liko wapi?
Nimegee kidogo
 
Hongera mkuu ila mshukuru mungu upepo umekuwa upande wako na usibeze wengine na kumbuka sio lazima wote tulime korosho kuna watu wamejituma na mitaji ya kutosha kwenye mahindi, pamba, mbaazi, tumbaku nk. lakini wameangukia maumivu tu...pia bei ya korosho haihusiani na Magu!
 
Muda mfupi Ni ile ya kuzaa kuazia miaka mitatu na kuendelea.

Korosho asilia inachukua muda mrefu kuzaa takribani miaka 8
Na hiyo miaka mitatu inazaa kwa kiwango gani kwa mti/heka??
Just rough estimates, assume mikorosho inahudumiwa vizuri
 
Safi mkuu. Una Jumla ya ekari ngapi ?

Na mikorosho unayo mingapi?

Mi nimenunua ekari 32 nimepanda miche ya kisasa ya mikorosho!?
Mi ni beginner sina ekari nyingi kwasasa lakini Nina mpango wa kuzidi kujitanua zaidi.Hadi sasa nina ekari tano ambazo zinazalisha korosho but nimelima ekari 3 kwa ajili ya kuweka miche ya mikorosho December hii
 
Elezea kidogo kuhusu hiyo miche ya muda mfupi inaanza uzalishaji baada ya miaka mingapi ukiishaipanda.
Pia ninaomba unieleze kifupi korosho asilia, tangu kupanda hadi kuanza kuzalisha ni miaka mingapi?
Hizi ni miche ya kisasa ya mikorosho ukiacha ile ya kizamani.It takes almost 3 years kuanza kukupa mazao.Mikorosho ya kisasa ina mazao bora sana kwani inazalisha kwa wingi na korosho zake ni kubwa
 
Pori umechukua kwa sh ngapi na maeneo gani? Gharama za kulifyeka kwa ekari ni kiasi gani?

NB: forex is not gambling and is real Na kwa wasio forex ni njia ya kupata mitaji mikubwa.
Gambling is a game of chance. And forex is a game of chance too.
Shamba nimenunuwa Mkoa wa Mtwara wilaya ya Tandahimba
 
Acha matusi mimi na wewe nani mwenye narrow vision.Hujiulizi kwanini bei ya korosho ilikuwa chini kwa miaka yote isipokuwa alipoingia Rais Magufuli.Kwa hiyo bei hiyo ya korosho katika soko la dunia imepanda ndani ya miaka hii miwili.
 
Shukran sana, je kama nataka tu kununua toka kwa wakulima zile ambazo zimeshatolewa maganda kilo ni bei gani?? na soko la Korosho hasa liko wapi?? (kwa ndani ya nchi) maana kujua masoko nayo muhimu.
 
Acha akili ya kipuuzi ww nani kakwmbia magufuli anapandisha bei y mazao bwege kwel ww shule yko ni yawapi.. me cyo mwanasiasa sitegemei kula kumsifia mtu. Ongea ukiwa unajua vitu cyo unaleta siasa kwnye vitu vinavyofahamika kadanganyeni wasio jua. Na mitandao yote hii bado mnamin kwny propaganda badlikeni hzo siasa syo wakat wake sahv dunia imekua mtaa.
 
Acha matusi mimi na wewe nani mwenye narrow vision.Hujiulizi kwanini bei ya korosho ilikuwa chini kwa miaka yote isipokuwa alipoingia Rais Magufuli.Kwa hiyo bei hiyo ya korosho katika soko la dunia imepanda ndani ya miaka hii miwili.
Umemuelewa lakini? Maana umeuliza swali ambalo tayari amejibu kwamba soko la dunia la zao la Korosho limepanda wakati Mkulu yuko madarakani kama bahati kwa wakati wake.

Na ndo ukweli hapo, na kama ni hivyo unavyojua wewe mbona soko la Mbaazi limeporomoka ghafla tena vibaya sana. Je aliyeporomosha ni Mkulu?
 
Shukran sana, je kama nataka tu kununua toka kwa wakulima zile ambazo zimeshatolewa maganda kilo ni bei gani?? na soko la Korosho hasa liko wapi?? (kwa ndani ya nchi) maana kujua masoko nayo muhimu.
Korosho ambazo zimebanguliwa bei ni sh 20000/ hadi 25000+.Korosho zikibanguliwa zunakuwa na bei sana masoko yapo wanakuja wanunuzi hapo ulipo lakini pia kuna masoko yapo kusini hata dsm
 
Weka data sio unaleta porojo hapa.Nimekuliza swàli kwanini miaka yote bei ilikuwa chini hujaweka majibu.Mimi sio mwanasiasa kama unavyofikilia mpu zi wewe.Unatumia nguvu nyingi kuukataa ukweli ambao uko wazi kabisa
 
Korosho ambazo zimebanguliwa bei ni sh 20000/ hadi 25000+.Korosho zikibanguliwa zunakuwa na bei sana masoko yapo wanakuja wanunuzi hapo ulipo lakini pia kuna masoko yapo kusini hata dsm
Hiyo elfu 20 kwa mkulima?? mimi nikinunua elfu 20 kilo nitauza bei gani jamani.
 
Unajuwa zao la korosho limeanza kulimwa lina zaidi ya miaka zaidi ya 70+ lakini bei yake haijawahi kufika hata 2500.Yaani miaka yote hilo zao katika soko la dunia limepanda mwaka huu?
 
Weka data sio unaleta porojo hapa.Nimekuliza swàli kwanini miaka yote bei ilikuwa chini hujaweka majibu.Mimi sio mwanasiasa kama unavyofikilia mpu zi wewe.Unatumia nguvu nyingi kuukataa ukweli ambao uko wazi kabisa
Hiv ww unajua biashara kweli au graduate naongea nae hpa.. toka lini bei za mazao hua hizo hizo miaka yote. Ww ulitaka bei iwe isioande au ishuke.. kuwa muelewa kwnza bei za mazao y biashara znapanda au kushuka kila siku hadi masaa kwny soko km unavyona dollar.
Mbna usemi Kahawa ipo vizur sikoni miaka yote hasa Arabica. Ni zaid y miaka 20 haishuki bei. Acha siasa za kusifuu wanaume wezako kw vtu visvyo stahili Inzi ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…