A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
My take;Vijana wenzangu tuache kulalamikà na kutafuta public sympathetic na Ku dream kuwa tajiri through gambling. Twendeni kwenye ardhi kuna pesa nyingi sana.NB nimenunuwa pori hekta 3 nimeangusha msitu mwezi huu December napanda miche ya mikorosho ya muda mfupi.
Pori umechukua kwa sh ngapi na maeneo gani? Gharama za kulifyeka kwa ekari ni kiasi gani?
NB: forex is not gambling and is real Na kwa wasio forex ni njia ya kupata mitaji mikubwa.