Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu unayajua madini vizuri kwanini usiwe dealer? Unanunua kwa wachimbaji wadogo halafu unawauzia wengine.habari wanajamii wenzangu ,,, nngependa kupata mawazo hasa kwa waliowajasiliamali,, mm nimekuwa mchimbaji mdogo eneo moja hapa nchini nmeanza kuchimba miaka 9 ilopita ,, kwa bahati wiki ilopita nilibahatika nikapata dhahabu ambayo imeniingizia milioni 200 na kitu,,
nilikuwa nataka kuachana na kazi ya uchimbaji maana ni ngumu sana , napenda nifanye biashara ,, na ni biashara ipi naweza anza na nayo?
Wazo zuri kwa mtaji alionaoKwasababu unayajua madini vizuri kwanini usiwe dealer? Unanunua kwa wachimbaji wadogo halafu unawauzia wengine.
Unahitaji bilioni ngapi kununua na kuuza?ni ngumu hii biashara na kuwa dealer mtaji mdgo na kutapeliwa rahisi sana
haha
inautapeli mwingi ndo maana naiepuka bora kuchimba kuliko kuwa dealer ni riskUnahitaji bilioinauni ngapi kununua na kuuza?
Ok.inautapeli mwingi ndo maana naiepuka bora kuchimba kuliko kuwa dealer ni risk
Kwanini unasema mada yake ya kitoto?Member sinse sept 17 , alafu unakuja na mada ya kitoto hii
Tafuta biashara yoyote uanze na mtaji mdogo kama 20m halafu kuwa nayo mpaka ufikie mtaji wa 200m. I did the same,ila kuanza na 200m kwa kitu kipya, sijui.inautapeli mwingi ndo maana naiepuka bora kuchimba kuliko kuwa dealer ni risk
asante kwa wazoTafuta biashara yoyote uanze na mtaji mdogo kama 20m halafu kuwa nayo mpaka ufikie mtaji wa 200m. I did the same,ila kuanza na 200m kwa kitu kipya, sijui.
hyo ni fikra yako ya kikubwaMember sinse sept 17 , alafu unakuja na mada ya kitoto hii
Mfano biashara ya nguo from China, unachukua frame kariakoo kwa 6m kwa mwaka. Unaenda China unachukua mzigo wa kama 20m unakuja kuuza. Jinsi utakavyoona biashara inaenda n unavyojifunza mwisho wa siku unakuwa unaleta containers kadhaa kama Wakinga. You grow gradually....asante kwa wazo
Nikopee milioni 10 tu mkataba wa mwaka nakurudishia milioni 15.habari wanajamii wenzangu ,,, nngependa kupata mawazo hasa kwa waliowajasiliamali,, mm nimekuwa mchimbaji mdogo eneo moja hapa nchini nmeanza kuchimba miaka 9 ilopita ,, kwa bahati wiki ilopita nilibahatika nikapata dhahabu ambayo imeniingizia milioni 200 na kitu,,
nilikuwa nataka kuachana na kazi ya uchimbaji maana ni ngumu sana , napenda nifanye biashara ,, na ni biashara ipi naweza anza na nayo?
Member sinse sept 17 , alafu unakuja na mada ya kitoto hii
Mkuu kabla sijakushauri napenda nijuehyo ni fikra yako ya kikubwa
napenda zaidi biasharaMkuu kabla sijakushauri napenda nijue
Unapenda biashara
Unapenda kilimo
Unapenda ufugaji
Baada ya jibu hapa ndio nitakushauri