FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Million 200 dhahabu hizo ni kilo si chini 300..habari wanajamii wenzangu ,,, nngependa kupata mawazo hasa kwa waliowajasiliamali,, mm nimekuwa mchimbaji mdogo eneo moja hapa nchini nmeanza kuchimba miaka 9 ilopita ,, kwa bahati wiki ilopita nilibahatika nikapata dhahabu ambayo imeniingizia milioni 200 na kitu,,
nilikuwa nataka kuachana na kazi ya uchimbaji maana ni ngumu sana , napenda nifanye biashara ,, na ni biashara ipi naweza anza na nayo?
Acha masihara mkuu..