Juzi Jumamosi
Kuna dogo mmoja alikua na mkeka wa karatasi stake 2,000 unaleta mil.12.8 kule galsport.
Timu zote ngumu zimetick kabaki astonvila na bayern na wote wako nyumbani.
Kajaribu kuuingiza kwny mashine aone cash out anapata Bei gani, cashout ikasoma mil 3.5 kwa matokeo yaliyopo Hadi Sasa.
Dogo akawa anawaza kuichukua hiyo hiyo TU mil. 3.5 Ila anaiogopa mechi ya Aston Vila inaweza kuuchana mkeka.
Ikabd aseme anaichukua hiyo mil.3.5 asije kosa yote maana Hajawahi hata kuishika Iyo ela.
Wadau wakaugombania sn ule mkeka awauzie,
Kuna mzee mmoja akajitokeza na dau kubwa na kununua ule mkeka kwa mil. 6 cash, dogo kapewa ela yake na kaenda zake.
Mechi ya astonvila imeisha kashinda 3:1,akabaki anasubiriwa bayern TU mkeka mzima wa mil.12.8
Huwezi amini,
Hiyo mechi Bayern sare ya 1:1 na Yuko nyumbani ikiwa na odd chache sn kuliko mechi zote[emoji3525]
yaani mechi yenye odds 1.2 ikauchana mkeka mzima wenye odds 6,000+[emoji26]