Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Hello. Huu uzi wa muda mrefu lakini naomba msaada wa number yako kama hutajali
 
Hello. Huu uzi wa muda mrefu lakini naomba msaada wa number yako kama hutajali
Sor haya majina bandia humu smtz ni kikwazo sana.Siko tayari kutoa namba yangu ya simu kwani sina uhakika na mengi ninayoandika humu kama yote ni salama kwangu,

Usijali we uliza chochote hapa jamvini niko tayari kutoa ushirikiano mkuu.
Karibu.
 
Mkuu, unaendeleaje na biashara? Naomba kufahamu aina ya mzani wako ulionunua na sehemu uliyonunulia (japo uzi ni wa zamani lakini ninaimani utanijibu)
 
Mkuu, nimependa commitment yako, nami ndoto yangu hatimaye naenda kuanza kuifanyia kazi baada ya zaidi ya miaka 15 sasa. Mashine nilinunua na si muda mrefu naanza kujenga jengo.
Ninaweza kupata Layout/flow plan mkuu? Hata kama ni kwa maongezi mkuu.
 
Sor haya majina bandia humu smtz ni kikwazo sana.Siko tayari kutoa namba yangu ya simu kwani sina uhakika na mengi ninayoandika humu kama yote ni salama kwangu,

Usijali we uliza chochote hapa jamvini niko tayari kutoa ushirikiano mkuu.
Karibu.
Mkuu, nitakutafuta. Nahitaji sana uzoefu wako kwani nipo kwenye mchakato wa kuingia huko kufikia mwisho wa mwakaa huu!
 
Vipi biashara inaendaje?na mashine zako ulinunua wapi ambazo ni nzuri?
 
Hii Biashara zaidi sana ni Mali kauli hamnaga cash(yaani unampa mteja then akishauza akulipe ), so inahitaji subira na ustahimilivu wa mtaji pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…