Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Magu kawakatisha tamaa.To have an idea is one think and to implement an idea is another think. Ndiyo maana watu wanasema, makaburini ni sehemu tajiri zaidi kwa mawazo kuliko mtaani, maana watu waliokufa na mawazo yao vichwani ni wengi kuliko walio mtaani.Mrejesho please...
Hakuna aliye fungua kiwanda hadi leo?
70mil ni machine ya aina gani mkuu kusaga, kukoboa na packing moja kwa moja auHii biashara nilishawahi ifanya na mzee wangu ni kazi nzuri ukiwa na capital ya kutosha. changamoto zake kubwa ni upatikanaji wa mahind hasa kuanzia miezi ya kumi na mbili mpaka wa nne. faida yake sio ya kutisha ila inalipa sana. nyingine ni umeme hasa kwa maeneo ya dar ni taab sana hii inakulazimu mara nyingi kazi ifanyike hata usiku, pia site yakk ingependez iwe eneo karibia na transformer ili uwe unapata umeme wa kutosha. kwenye soko pia mwanzo ni mgogoro sana ila ukishakuwa na jina na hasa ukapata wateja kama wacomoro umepeta.
kitu kingine ni wanafanyakazi, hapa ndio tatizo inabidi upate wafanyakazi waminifu sana na mara ya mwisho ilikuwa kukoboa na kusaga kwa tonne moja ilikuwa ni 2500, hapo bila kushusha mzigo toka garini. ukija kwenye upande wa kusagia wateja hapo ni wewe tu ila jua mashine nying unazoziona dar ni za kusagia wateja na hapa kwang mimi ndo naona inalipa san. mwaka juzi tone moja kusaga na kukoboa ilikuwa ni 30000 na ukiwa na kinu kizuri unaweza futa mzigo wa tonne 30 per 24hrs.
Ila kuna watu temeke wanatengeneza mashine complete set the last time ilikuwa 70mil na per day inauwezo wa tonne60. mara ya mwisho nilipopita stereo ilikuwa haijaanza fanya kazi. kwa ujumla ni kazi nzur sana nikijikusanya lazima na mimi niiifanye. ila in the hot cake ni unga wa ngano sijui wanafanyaje kina azam
kusaga, kukoboa kukausha pumba Kwa pamoja. hukuwa n'a haja ya kuwa n'a vijana automanual kwenye parking mfumo wa kawaida.70mil ni machine ya aina gani mkuu kusaga, kukoboa na packing moja kwa moja au
Nakubaliana nawe kaka ila faida inapatikanaje kuanzia A to Z katika hizi business. Kifupi cost analysis muhimu ndugu na wengi humu hawatuweki wazi wenzao tunaotaka kuingia katika business!Hii biashara tamu sana. Allah akipenda nitaifanya mwaka wowote ule.
Ni project nzuri kwa kuifikilia sina uzoefu wowote Ila nadhani inalipa! Ngoja waje wenye uzoefu Ila natanguliza hongera kwa hatua hio mkuu!
Ndg hao watu wa temeke bei ya machine zao hizo ikiwa complete ni bei gani?Hiij biashara nilishawahi ifanya na mzee wangu ni kazi nzuri ukiwa na capital ya kutosha. changamoto zake kubwa ni upatikanaji wa mahind hasa kuanzia miezi ya kumi na mbili mpaka wa nne. faida yake sio ya kutisha ila inalipa sana. nyingine ni umeme hasa kwa maeneo ya dar ni taab sana hii inakulazimu mara nyingi kazi ifanyike hata usiku, pia site yakk ingependez iwe eneo karibia na transformer ili uwe unapata umeme wa kutosha. kwenye soko pia mwanzo ni mgogoro sana ila ukishakuwa na jina na hasa ukapata wateja kama wacomoro umepeta.
kitu kingine ni wanafanyakazi, hapa ndio tatizo inabidi upate wafanyakazi waminifu sana na mara ya mwisho ilikuwa kukoboa na kusaga kwa tonne moja ilikuwa ni 2500, hapo bila kushusha mzigo toka garini. ukija kwenye upande wa kusagia wateja hapo ni wewe tu ila jua mashine nying unazoziona dar ni za kusagia wateja na hapa kwang mimi ndo naona inalipa san. mwaka juzi tone moja kusaga na kukoboa ilikuwa ni 30000 na ukiwa na kinu kizuri unaweza futa mzigo wa tonne 30 per 24hrs.
Ila kuna watu temeke wanatengeneza mashine complete set the last time ilikuwa 70mil na per day inauwezo wa tonne60. mara ya mwisho nilipopita stereo ilikuwa haijaanza fanya kazi. kwa ujumla ni kazi nzur sana nikijikusanya lazima na mimi niiifanye. ila in the hot cake ni unga wa ngano sijui wanafanyaje kina azam
ana tonne80 mwenye tonne 500 hapa ni azam tena ngano. mziki wa tonne 500 kwa siku si haba. ni kama mzigo wa mil 250 per dayAiseee
Ina maana kuna mtu ana 500TPD huko Sumbawanga?
Ujasiriamali hauhitaji uvivu. Yaani uvivu na Ujasiriamali ni sawa na mbingu na Aridhi.wakuuimi nahitaji kua mfanyabiashara wa kutengeneza
na kuuza unga wa dona na sembe naombq msada kwa mwenye uzefu na biashara hiyo soko lake likoje wapi na pakuanzia
ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwambia lipo huko uliko au kote?
Nduki[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji28]Nashkurun jamani kwa ushauri wenu kweli nimefanya utafiti nimekugundu mambno mengi na bado naendelea nitaleta mrejesho soon
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app