Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Mzee Kama ukifanikiwa kumpata mie nina keli zinaweza kusaidia katika usafiri tugawane umaskini.
 
Mkuu kiwanda kikianza kazi mm nipo kwa ajili ya malighafi ya bidhaa unayo zalisha. Nikimaanisha ya kwamba kwenye suala la Mahindi nitakuwa nakuletea mzigo utakao, Karibu sana mkuu.
Aaah sawa Mkuu. Nitakutafuta tutayajenga. Mahindi yako toka mkoa gani?
 
Aaah sawa Mkuu.nitakutafuta tutayajenga .Mahindi yako toka mkoa gani?
Karibu sana mkuu, mkuu mahindi nachukua sehemu tofauti tofauti. Ni ww sasa kunipa mm kazi na kuniagiza nikuletee mahindi ya wapi. Mahindi nachukua Tanga, Njombe, Morogoro, Dodoma, Songea n.k Karibu sana.
 
Songea nimefanya research nasikia ndo yanapedwa zaidi unga unataka mweupe na mzuri.
 
Ndio ni kweli kabisa mahindi ya Songea na Tanga ni mazuri kwa unga wa Sembe kwa Dona Mahindi ya Njombe yako poa sana.
Sawa Mkuu.nitakutafuta.naomba uniachie namba yako pm.nikiwa tayari nikutafute
 
Back
Top Bottom