Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Usisahau kumwambia mkulu aje azindue mkuu.

Sijui kitakua kiwanda cha ngapi hicho,wenye takwimu.
 
Habari wakuu,

Natafuta mtu wakufanya nae biashara ya unga wa sembe na dona.njoo na milioni 25 tufanye Kazi hiyo pamoja .Eneo nimeshanunua kibaha.jengo nimeshajenga .bado kuweka mashine na umeme wa 3 face .kiwanda ni kukubwa na kina store pia.nilipanga nimalize December mwaka huu kiwanda kianze Kazi lakini mipango haijakaa sawa.au Kwa anayejua taasisi inayowezesha viwanda kama hivyo Kwa mkopo.Kwa muitaji tuwasiliane pm

Kibaha sehemu gani mkuu maana kama mailimoja eneo LA viwanda ni tamko nikija nije nione mkuu nami nipate utajir wa akili.
 
Kibaha sehemu gani mkuu maana kama mailimoja eneo LA viwanda ni tamko nikija nije nione mkuu nami nipate utajir wa akili
Sio maili moja Mkuu kibaha near Mlandizi.karibu ata kesho Mkuu tuyajenge ujionee uhalisia. Kuna viwanda vya wachina pemben kama vitatu.
 
Sio maili moja Mkuu kibaha near Mlandizi. Karibu ata kesho Mkuu tuyajenge ujionee uhalisia. Kuna viwanda vya wachina pembeni kama vitatu
Aah huko ni zegereni mkuu, si unaingilia madafu pale?
 
Back
Top Bottom