Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Aisee Mimi nafanya kazi ya unga ila mtaji ni kidogo sana nasambaza maduka kama 10 kwa hapa TDM.
 
Eneo ulipojenga kwenye makazi ya watu au limetengwa kwa viwanda vidogo vidogo mkuu?
 
UMENISTUAAA..nikataka nianze kuandaa hela mapema. Kumbe unga wa sembe na dona!!!! aaarrrggg
 
Kila laheri ila ujipendekeze Kwa chama la wana maana ukiwa mpinzani wao watakudai hadi kodi zingine zisizokuwa na jina
 
Back
Top Bottom