zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
OkeyFanya Kunitumia zako, hiz za Kwangu bado sijazishika vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkeyFanya Kunitumia zako, hiz za Kwangu bado sijazishika vizuri.
Ni mpya?Fanya Kunitumia zako, hiz za Kwangu bado sijazishika vizuri.
Uzoefu wa section gani?Me nataka uniajili maana nina uzoefu wakutosha
Nimejenga majengo mawili makubwa Kwa hiyo apo vuta picha nitasambaza sehemu nyingi na kiwanda kitapiga kazi 24 hrsAisee Mimi nafanya kazi ya unga ila mtaji ni kidogo sana nasambaza maduka kama 10 kwa hapa TDM.
Duh original nijitangaze hivi?Mim nikajua poda original toka kwa pablo
Eneo limetegwa Kwa ajili ya viwanda.yard.pembeni yake kuna kiwanda kikubwa tuEneo ulipojenga kwenye makazi ya watu au limetengwa kwa viwanda vidogo vidogo mkuu?
Nilipo Pima hayo nikaona niko mbali sana na ww umenitanguli kilometa 1000Nimejenga majengo mawili makubwa Kwa hiyo apo vuta picha nitasambaza sehemu nyingi na kiwanda kitapiga kazi 24 hrs
Apana Mkuu wewe umeshaanza uzalishaji Mimi bado.Kwa hiyo umenitangulia ,tupeane uzoefu tuNilipo Pima hayo nikaona niko mbali sana na ww umenitanguli kilometa 1000
Hii niya hapa bongo tena inategemea masikaMim nikajua poda original toka kwa pablo
Ukipata channel faida IPO mzuri.Apana Mkuu wewe umeshaanza uzalishaji Mimi bado.Kwa hiyo umenitangulia ,tupeane uzoefu tu
Sawa Mkuu nitaanda proposal niipeleke pia. Asante kwa ushauriMuone waziri wa viwanda anatoa support
Asante Mkuu. Unafanyia wapi?Ukipata channel faida IPO mzuri.