Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

mkuu hii biashara ongea tu kwa kua huijui kwa zamani ata ungeanza na terabyte 1 unatoboa ila sasa mkuu bila kua na kuanzia terabyte 20 unafukuza upepo mtaji wake sio chini ya million 1 kma unataka uone pesa
Eleza in details Mkuu why 1m?
 
motivesheno spika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
mkuu hii biashara ongea tu kwa kua huijui kwa zamani ata ungeanza na terabyte 1 unatoboa ila sasa mkuu bila kua na kuanzia terabyte 20 unafukuza upepo mtaji wake sio chini ya million 1 kma unataka uone pesa
Kaa endelea kusubiri ushike Milioni 1

Kaa endelea kusubiri uwe na HDD 1TB

Ndio uanze hii kazi,Subira yavuta heri mkuu...😇
 
Huu uzi umenigusa sana.nilikuwa natamani kufungua duka LA mahitaji ya kila siku but kwa kuona huu uzi umenibadilisha mawazo yangu ghafla "Asante sana kiongozi, na mungu akupe moyo huohuo usiache kutusaidia pale inapobidi"
 
Bonge moja la uzi

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Kuna viela vinakuja kiajabu sana mtu alishanipaga 50000 kumjazia flash ya gb 32,vinyimbo vipya na season mpya
 
Bosi habar ya leo

Nashauri anzisha topic moja CONTROLA MEGA THREAD kwa sababu madini na uzoefu unaokuwa unatoa ukiwa kwenye thread moja itakaa vzr sana.

Sio kwamba wengine hawana michango au mawazo ya kuwajenga vijana wenzeo kiuchumi Bali wewe ni zaidi Yao kwa mtazamo wangu. [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Tukiachana na ubishi pamoja na ligi zako zile za kutoana mapovu, hizi threads zako zinakuaga na madini ya uhakika sana.

Kwa vijana wanaoanza mapambano ya kutoboa, kuna mengi watajivunza.
 
Tukiachana na ubishi pamoja na ligi zako zile za kutoana mapovu, hizi threads zako zinakuaga na madini ya uhakika sana.

Kwa vijana wanaoanza mapambano ya kutoboa, kuna mengi watajivunza.
Mkuu mbona sinaga ubishi wala ligi,ukifatilia hii ID imekaa ki official sana

haibishani,haitukani,haiongei pumba hovyo ila ukinikuta kwenye ID yangu

halisi ya rikiboy ndio utajua kuwa Controla n mwingine na Rikiboy ni mwingine😂

Hapo kwa rikiboy nimetolea tu mfano,hiyo si ID yangu,Controla ni Dingi flani asie na mikwara mzee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…