Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
😂😂😂😂Au nikochomeshe!!!🤔sasa nichomeshe mahindi kama kawaida yako,uniache nahesabu watu
Hehehehe nilivyo na hamu na nyama choma kesho mapema tu utanikuta eneo la tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Au nikochomeshe!!!🤔sasa nichomeshe mahindi kama kawaida yako,uniache nahesabu watu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Si tutaona sasawewe fanya theory huko practical ya kunichomesha mahindi uje uifanyie kwangu?
nakwambia nimepata mganga mmoja huyo,nikimtajia herufi yako ya jina ya kwanza tu "kazi kwisha"😂
we furahia tu, halafu unichomeshe kweli popcorn🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Si tutaona sasa
Ushindwe...lini umeanza hayo mambo??!!!alafu hata upendezei na huo uhandsome Basi tu
Tuliwahi kutoana povu mahala, anyway yaliishia kule. Threads zako ziko na madini sana, kudos!Mkuu mbona sinaga ubishi wala ligi,ukifatilia hii ID imekaa ki official sana
haibishani,haitukani,haiongei pumba hovyo ila ukinikuta kwenye ID yangu
halisi ya rikiboy ndio utajua kuwa Controla n mwingine na Rikiboy ni mwingine[emoji23]
Hapo kwa rikiboy nimetolea tu mfano,hiyo si ID yangu,Controla ni Dingi flani asie na mikwara mzee..
Sahihi kabisa.Kuna viela vinakuja kiajabu sana mtu alishanipaga 50000 kumjazia flash ya gb 32,vinyimbo vipya na season mpya
Tatizo mnanichukulia mimi kauzu sana, japo kweli n kauzu ila kuna wakati najiachia tu mkuuKumbe mzee hua unachat ukichatishwa naomba kujoin the chain huko kwenye mbuzi
I thought you're the other side of Rikiboy. Apart from Tund thread, I know nothing about that charming boy rikiboyMkuu mbona sinaga ubishi wala ligi,ukifatilia hii ID imekaa ki official sana
haibishani,haitukani,haiongei pumba hovyo ila ukinikuta kwenye ID yangu
halisi ya rikiboy ndio utajua kuwa Controla n mwingine na Rikiboy ni mwingine😂
Hapo kwa rikiboy nimetolea tu mfano,hiyo si ID yangu,Controla ni Dingi flani asie na mikwara mzee..
Wewe naona wataka ofisi ikae ki-executive sanaaaa ndio maana. Ila ukianza tararibu ukawa na nidhamu ya pesa na malengo utafika unapopatarajia aisee. Kuna watu wako nje ya fremu hapa Buguruni ukijumlisha kila kitu ana around laki 3½ ila kila siku yupo na anasomesha. Nataka nikaanze hii bizney maeneo ya taasisi fulani ya elimu nijipe na time frame ya kutake offmkuu hii biashara ongea tu kwa kua huijui kwa zamani ata ungeanza na terabyte 1 unatoboa ila sasa mkuu bila kua na kuanzia terabyte 20 unafukuza upepo mtaji wake sio chini ya million 1 kma unataka uone pesa
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu. Ile thread yetu pendwa nahisi bado ipo kwenye top 3 ya trending thread.me sio controlla wala sina ID nyinginee...its just rikiboy.
Wanakusingizia wewe tunakujua 😂me sio controlla wala sina ID nyinginee...its just rikiboy.