Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

Sio kwamba wengine hawana michango au mawazo ya kuwajenga vijana wenzeo kiuchumi Bali wewe ni zaidi Yao kwa mtazamo wangu.
Asante Big Boss, Tunasonga mbele mazuri yapo mengi yanakuja

Vijana tutainuka na hakika tutainuka wte kwa kila atakae taka kuinuka.
 
hii ni kazi haramu sema wahusika wameamua kufumba majicho
 
Kwahiyo unajinasibu hadharani kuwa unamiliki ID zaidi ya moja
 
Nimestuka sana mkuu😆😆😆 nikajua ni mzee wa🍎
 
Haha hua tunachangamsha ubongo kidogo
Unajua Mkuu kuna kitu inaitwa MUDA,Usipoweza thamini muda wako

kuna vitu hutoweza vifikia kwa haraka,kwenyee maisha pia kuna muda tunatakiwa

ku refresh na kuupa mwili pumziko kdg,lakini umechagua nn kurefresh ubongo wako?

kuna thread humu si zakuziendea kbsa maana si rafiki kwa afya ya ubongo,unaziacha kwa matumizi ya wengine.
 
Nimeuchukua ushauri Asante
 
Katika ubora wako..embu fanya weekend hii tukazurure kule kwenye nyama choma
 
😂😂😂😂
Nimeacha kujifungia ndani sikuhizi...
Kama kweli sasa Muda ndio kesho,

Nyama choma palee tukayape Meno mazoezi kidogo😀
 
Woooiiiii🤸🤸🤸🤸🤸
Kesho ndiyo kesho🤗🤗
Yaniiii tena muda ndio muda ufanye tu kuchangamka

maana na wewe umepooza kama maji ya kuogeshea mgonjwa😂

nakusubiri mimi😊
 
Yaniiii tena muda ndio muda ufanye tu kuchangamka

maana na wewe umepooza kama maji ya kuogeshea mgonjwa😂

nakusubiri mimi😊
😂😂😂😂😂😂
Atiiii!!...mbona uonevu Sasa huo..😔
Sawa bwana kesho ndiyo utajua hujui🤣🤣
 
😂😂😂😂😂😂
Atiiii!!...mbona uonevu Sasa huo..😔
Sawa bwana kesho ndiyo utajua hujui🤣🤣
sasa nichomeshe mahindi kama kawaida yako,uniache nahesabu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…