Mkemia kay
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 131
- 135
- Thread starter
-
- #181
Ni sehemu gani imeandikwa ivokwani kuna shida gani watu wakiamua kutumikisha viungo vyao kwa pesa? wewe unaona wivu ama? aidha, kwani hiyo si staili tu ya utendaji? una takwimu za umalaya wa majumbani au kwenye ndoa wewe? kama sisi tunaojidai wangwana majumbani ni wema, magonjwa kama UKIMWI yanashamiri kwenye jamii yetu kwanini? tuache tamaduni za kinafki, Bongo ngono CHAFU (kama ipo) inapigwa kwa staili zote tu. mimi ninaona heri ya anaeweka wazi kuuza kuliko anaeuza indirectly. hizi za kutuma na ya kutolea, ukiitazama vema ni biashara ileile tu, sema ipo indirect. acheni watu waishi maisha yao.
kuandikwa nini?Ni sehemu gani imeandikwa ivo
ayo maneno yako ni sehem gani nimeyaandika katika chapisho langukuandikwa nini?
pengine neno KUPAMBANA umelitumia kwa fasili ya ziada, si ile ya msingi. kama hivi ndivyo, thibitisha hili huku ukifafanua ulikusudia niniayo maneno yako ni sehem gani nimeyaandika katika chapisho langu
hii biashara tunaitazama katika macho mawili chanya na hasi, kwa wale wanaoina ni mbaya wanalo jukumu la kupambana nayo kuimalza ndo maana nikawadirect viongozi wa dini ambao kwao ni kinyume na vitabu vya dinipengine neno KUPAMBANA umelitumia kwa fasili ya ziada, si ile ya msingi. kama hivi ndivyo, thibitisha hili huku ukifafanua ulikusudia nini
nilishakusoma na kuona unajikanganya ndo maana unaona ninakuchallenge. umeoesha wazi kuwa hili ni suala la mtazamo. lakini humohumo unaonesha ni suala baya na ungependaa viongozi walifanyie kazi. kwa kifupi unapinga biashara hii, hata kichwa cha mada yako kinajipambanua. bahati NZURI hapa huongei na kundi moja. tupo mchanganyiko, so, tupo tunaotazama vingine.hii biashara tunaitazama katika macho mawili chanya na hasi, kwa wale wanaoina ni mbaya wanalo jukumu la kupambana nayo kuimalza ndo maana nikawadirect viongozi wa dini ambao kwao ni kinyume na vitabu vya dini
bado sina upande wowote nimetoa nafasi ya kila kundi husika kusimama katika nafasi yake kutimiza jukumu zaidi nikatoa ushauri kwa serikali kulihararishanilishakusoma na kuona unajikanganya ndo maana unaona ninakuchallenge. umeoesha wazi kuwa hili ni suala la mtazamo. lakini humohumo unaonesha ni suala baya na ungependaa viongozi walifanyie kazi. kwa kifupi unapinga biashara hii, hata kichwa cha mada yako kinajipambanua. bahati NZURI hapa huongei na kundi moja. tupo mchanganyiko, so, tupo tunaotazama vingine.
bado ungeweza kuweka mtazamo wako ukawa bayana na ukautetea kwa hoja zako huku ukikiri kufahamu mitazamo mingine lakini ukausimamia wako kwa ushawishi wa hoja. sasa unataka uonekane neutral huku kwenye maelezo haupo hivyo.
Kwel kabisa naongezea kwa kusema kuhusu pepo au jehanamu ni maamuzi ya mtu binafisi binafisiWawekewe sehemu maalumu, wasajiliwe na walipe tozo..
Marufuku kuonekana sehemu nyi gine, wapewe sehem yao na wanaowahitaj wawafuate huko sokoni.
Ukahaba haujaanza leona hautaisha leo. Kuuhalalisha na kuwatoza kodi kubwa itapunguza
Kuhusu pepo na jehanamu, tusiliongelee hili. Wengi wa hawa washajitoa muhanga
Nani kakwambia iyo biashara ni private? Mwanamke yoyote anayevua chupi sababu ya hela hajiheshimu sasa sisi tutamuheshimu kivipi?mkuu lakini hizi biashara ni private kwa nn usitunze privacy za watu
Anatafuta riziki kwa namna yake kama wewe ambavyo unatafta rizikiNani kakwambia iyo biashara ni private? Mwanamke yoyote anayevua chupi sababu ya hela hajiheshimu sasa sisi tutamuheshimu kivipi?
Acha kutete uchafu kuna mabinti wengi tu wanauza mitumba, mama ntilie na vingine shida isiwe sababu ya kuuza mpususu, its only the easy way out hapo nakubali lakini hamna sababu ya maana..Anatafuta riziki kwa namna yake kama wewe ambavyo unatafta riziki
Ni ujinga kwako hauwezi kuhukumu mtu kulingana na wewe, na kihuhalisia dunia nzima hatuwezi fanya kazi mojaAcha kutete uchafu kuna mabinti wengi tu wanauza mitumba, mama ntilie na vingine shida isiwe sababu ya kuuza mpususu, its only the easy way out hapo nakubali lakini hamna sababu ya maana..
Kwenye chapisho lako umeuliza nini kifanyike kupambana nayo.kwenye chapisho langu umeona kuna sehemu nimesema nataka kupambana nayo
Unasema??Hivi sehemu ya wanaume kujiuza ipo wapi maeneo ya Dar ili nikachangamkie ajira hizo?
Wawekewe sehemu maalumu, wasajiliwe na walipe tozo..
Marufuku kuonekana sehemu nyi gine, wapewe sehem yao na wanaowahitaj wawafuate huko sokoni.
Ukahaba haujaanza leona hautaisha leo. Kuuhalalisha na kuwatoza kodi kubwa itapunguza
Kuhusu pepo na jehanamu, tusiliongelee hili. Wengi wa hawa washajitoa muhanga