kwani kuna shida gani watu wakiamua kutumikisha viungo vyao kwa pesa? wewe unaona wivu ama? aidha, kwani hiyo si staili tu ya utendaji? una takwimu za umalaya wa majumbani au kwenye ndoa wewe? kama sisi tunaojidai wangwana majumbani ni wema, magonjwa kama UKIMWI yanashamiri kwenye jamii yetu kwanini? tuache tamaduni za kinafki, Bongo ngono CHAFU (kama ipo) inapigwa kwa staili zote tu. mimi ninaona heri ya anaeweka wazi kuuza kuliko anaeuza indirectly. hizi za kutuma na ya kutolea, ukiitazama vema ni biashara ileile tu, sema ipo indirect. acheni watu waishi maisha yao.