Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

kwani kuna shida gani watu wakiamua kutumikisha viungo vyao kwa pesa? wewe unaona wivu ama? aidha, kwani hiyo si staili tu ya utendaji? una takwimu za umalaya wa majumbani au kwenye ndoa wewe? kama sisi tunaojidai wangwana majumbani ni wema, magonjwa kama UKIMWI yanashamiri kwenye jamii yetu kwanini? tuache tamaduni za kinafki, Bongo ngono CHAFU (kama ipo) inapigwa kwa staili zote tu. mimi ninaona heri ya anaeweka wazi kuuza kuliko anaeuza indirectly. hizi za kutuma na ya kutolea, ukiitazama vema ni biashara ileile tu, sema ipo indirect. acheni watu waishi maisha yao.
Ni sehemu gani imeandikwa ivo
 
pengine neno KUPAMBANA umelitumia kwa fasili ya ziada, si ile ya msingi. kama hivi ndivyo, thibitisha hili huku ukifafanua ulikusudia nini
hii biashara tunaitazama katika macho mawili chanya na hasi, kwa wale wanaoina ni mbaya wanalo jukumu la kupambana nayo kuimalza ndo maana nikawadirect viongozi wa dini ambao kwao ni kinyume na vitabu vya dini
 
nilishakusoma na kuona unajikanganya ndo maana unaona ninakuchallenge. umeoesha wazi kuwa hili ni suala la mtazamo. lakini humohumo unaonesha ni suala baya na ungependaa viongozi walifanyie kazi. kwa kifupi unapinga biashara hii, hata kichwa cha mada yako kinajipambanua. bahati NZURI hapa huongei na kundi moja. tupo mchanganyiko, so, tupo tunaotazama vingine.

bado ungeweza kuweka mtazamo wako ukawa bayana na ukautetea kwa hoja zako huku ukikiri kufahamu mitazamo mingine lakini ukausimamia wako kwa ushawishi wa hoja. sasa unataka uonekane neutral huku kwenye maelezo haupo hivyo.
 
bado sina upande wowote nimetoa nafasi ya kila kundi husika kusimama katika nafasi yake kutimiza jukumu zaidi nikatoa ushauri kwa serikali kulihararisha
 
Wawekewe sehemu maalumu, wasajiliwe na walipe tozo..

Marufuku kuonekana sehemu nyi gine, wapewe sehem yao na wanaowahitaj wawafuate huko sokoni.

Ukahaba haujaanza leona hautaisha leo. Kuuhalalisha na kuwatoza kodi kubwa itapunguza

Kuhusu pepo na jehanamu, tusiliongelee hili. Wengi wa hawa washajitoa muhanga
 
Kwel kabisa naongezea kwa kusema kuhusu pepo au jehanamu ni maamuzi ya mtu binafisi binafisi
 
Nani kakwambia iyo biashara ni private? Mwanamke yoyote anayevua chupi sababu ya hela hajiheshimu sasa sisi tutamuheshimu kivipi?
Anatafuta riziki kwa namna yake kama wewe ambavyo unatafta riziki
 
Acha kutete uchafu kuna mabinti wengi tu wanauza mitumba, mama ntilie na vingine shida isiwe sababu ya kuuza mpususu, its only the easy way out hapo nakubali lakini hamna sababu ya maana..
 
Ni ujinga kwako hauwezi kuhukumu mtu kulingana na wewe, na kihuhalisia dunia nzima hatuwezi fanya kazi moja
 
Serikali itoze kodi na tozo sehemu ilipowekeza. Sio kila biashara inapaswa kulipa kodi au tozo.
Wawekewe sehemu maalumu, wasajiliwe na walipe tozo..

Marufuku kuonekana sehemu nyi gine, wapewe sehem yao na wanaowahitaj wawafuate huko sokoni.

Ukahaba haujaanza leona hautaisha leo. Kuuhalalisha na kuwatoza kodi kubwa itapunguza

Kuhusu pepo na jehanamu, tusiliongelee hili. Wengi wa hawa washajitoa muhanga
 
Umenichekesha uliposema na wapo wa serikalini wanajiuza ndio maana wanaacha iendelee🤣🤣🤣🤣🤣aaaaanh dunia nishushe…🤣🤣 my ribs
 
Back
Top Bottom