Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Jirani wewe achana na hizo ishu, hao wanaojiuza wanasaidia sana kuepuka kuchomwa au kutuma na ya kutolea.Nawashukuru sana malaya wa Tandika na Temeke, mlinisaidia sana mpaka leo nadunda.Na wale wa Dodoma asanteni sana bila kuwasahau wale wa Mwanza pale naniihi na wale wote tuliokutana na mkaniruhusu kupiga na kondomu.Asanteni sana
 
Tuwakaye dyudyu
 
ni kweli kabisa kwamba asilimia kubwa ya wanaojiuza hawafanyi kwa kupenda ila wanabanwa na ugumu kwelikweli wa maisha. wengi wao walitoka vijijini kuhadiwa kwamba mjini watapata kazi, kumbe walipofika kazi ndo hiyo na hakuna nauli ya kurudi kijijini achilia mbali pesa kwa ajili ya chakula na malazi, wengine walipofika mjini walipewa kazi za ndani, wakaanza kufanya kwa uaminifu kabisa, maskini baba mwenyenyumba kakawakia tamaa kakabaka, au kukatongoza katoto ka watu, mama mwenye nyumba kashtukia mahusiano hayo haramu pengine hata kwa kuambiwa na kabinti kenyewe, kisirani kimemjaa kakafukuza kama mbwa kwa kisingizio cha kulinda ndoa yake , hata kama ndoa ,yenyewe ni ya mkeka, ili mradi tu kwamba yeye ndo ameshika kwenye mpini. Kabinti ka watu kanafukuzwa, hakapewi hata nauli , kakianza kurandaranda mitaani pa kwenda huenda kakakutana na wasamaria wema kwa ngozi ya kondoo tu ,kumbe ndani ni wafilist, hawa kama .ni wadada watakashirikisha kazi hiyo na ni ngumu kwake kukwepa.

Hata hivo hatutaki kuhalalisha biashara hiyo kwa sababu za ustawi wa jamii. Hiyo ni kazi yenye addiction sawa na madawa ya kulevya.
Kwani unawaonaje hawa wadada kauli zao! Hawana ustaarabu hata kidogo, vinywa vyao vinazungumza machafu muda wote ni hatari sana kwa jamii inayo interact nao ikizingatiwa kwamba makazi yao ni yaleyale wanayoishi raia wengine.
Kadhalika ile asilimia ndogo ya wasiofanya biashara hii kwa shida tutawafungulia uwanja wa kuzidi kuwavuruga na kuwachafua mabinti zetu ambao wako exposed na mazingira hayo.

BINAFSI ninachoona chafaa kufanyika ni, tuwatake wazazi waliopo vijijini kutowaruhusu watoto wao kuja mjini pasipo kuwa na uhakika na aina ya kazi wanazokuja kufanya, mfano wazazi wengi wamedanganywa na binti zao aina ya kazi halali wanazofanya na wamezibariki, kumbe uongo mtupu, PIA SERIKALI iangalie namna ya kuwezesha maisha ya mabinti pamoja na vijana ili wasiingie kwenye changamoto za shida zinazokithiri kiasi cha kujihalalishia kazi haramu.
 
Unazungumzia wahaya au
 
Mi mwenyewe nishasikia hizi story, hata ile picha ta last supper kwamba yesu alikua na wanafunzi wake eti pale mmoja alikuwepo dem wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tutachomwa moto kwakweli!!!!
Duh! Tuhuma hazina mashiko hizo.. huyo mtoto wa Yesu ni nani kwanza ?

Moto wa shetani ule, haiwezekani pisi kali kama wewe uende motoni nitakukatia rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…