Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

mkuu hii kua biashara huwezi tunaweza kuleta hoja za kupunguza kwa utoaji wa elimu kwa wanawake juu ya kujitegemea
Hivi asilimia kubwa ni wasomi wahitimu wa vyuo vikuu au form four leaver unaisi elimu hawana elimu
 
Biashara zote illegal Zina faida sana Lakin wakizihalalisha zitapoteza maana na kuharibu jamii:-
1.Ukahaba
2.Madawa ya kulevya et mihadarat na bangi
3.Viungo vya binadamu
4.Pornograph
5.na zingine zote zinazofanyka black market

So Acha watu wafanye kimykimy tu huku wakipata faida
 
Hiyo biashara ni kongwe zaidi, hata huyo Maria Magdalena ambaye Bible inasema alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka alikuwa Changudoa kabla ya kukutana na Yesu. Na conspiracy theorists wanasema Yesu alikuwa anamtafuna na walifunga ndoa na kuzaa mtoto mmoja
Makubwa haya
 
Ni kweli lakini lilikuwa ni wazo kwa serikali watengeneze sera itakayokuwa na manufaa ata kwa serikali yenyewe
 
Hiyo biashara ni kongwe zaidi, hata huyo Maria Magdalena ambaye Bible inasema alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka alikuwa Changudoa kabla ya kukutana na Yesu. Na conspiracy theorists wanasema Yesu alikuwa anamtafuna na walifunga ndoa na kuzaa mtoto mmoja
Your wrong ni bora kutafuta wataalamu wa theorogia wakusaidie ili wakati mwingine kuepuka kuongea hoja bila kuwa na uhakika nayo na ukaleta mikanganyiko
 
Mfia dini pole....
Kama ambavyo unapenda kuheshimiwa ni vizuri pia kujifunza kuheshimu dini za watu kuna watu huyu Yesu kwao ni Mungu na msaada wao na wanamtazamia siku moja kurudi na kuwapeleka mbinguni ndo maana nkakwambia jifunze kuwa na heshima na dini na imani za watu
 
Sasa mmoja alikua demu wake kivipi wakati wanafunzi wa yesu wote walikua wanaume
Katika ile picha inasemekana mmoja pale ni mwanamke, ujue muonekano wao unachanganya wanaume pia wana nywele ndefu labda ndio maana ukazagaa huo uzushi.... Anyway mi sijui hayo bana

images (2).jpeg
 
Kama ambavyo unapenda kuheshimiwa ni vizuri pia kujifunza kuheshimu dini za watu kuna watu huyu Yesu kwao ni Mungu na msaada wao na wanamtazamia siku moja kurudi na kuwapeleka mbinguni ndo maana nkakwambia jifunze kuwa na heshima na dini na imani za watu
Pole mfia dini
 
Hyo sera si kama tu kuhalalisha. Au nn maana ya sera??
ukitengeneza sera ina maana sera inatengeneza mazingira mazuri kwa iyo biashara kwa iyo kama itahararishwa itafanyika katika mazingra mazuri na tahadhari ili kurinda tasiwira ya taifa na vizazi vyake
 
Katika ile picha inasemekana mmoja pale ni mwanamke, ujue muonekano wao unachanganya wanaume pia wana nywele ndefu labda ndio maana ukazagaa huo uzushi.... Anyway mi sijui hayo bana

View attachment 1863395
Hakuna kitu kama iko wanafunzi wa Yesu walkuwa wanaume wote ingawa alkuwa na watu ndani yake kuna kina mama
 
Biashara ya ukahaba ni biashara kongwe duniani

Manabii wameikuta na wameiacha.

Umesema wanaojiuza ni wenye shida hasa single mamas na hapo hapo umesema hata waliopo serikalini wanajiuza.

Fafanua hapo zaidi
Kwa nilivyo muelewa nikwamba kunabaadhi ya viongoz/watumishi Wa serikar ambao wanajiusisha na biashara hiyo
 
Back
Top Bottom