Mkemia kay
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 131
- 135
- Thread starter
- #101
Yeah ni kweli hii biashara ni tangu sodoma na gomora kama nilivoelezea kwenye chapisho languHiyo biashara ni kongwe zaidi, hata huyo Maria Magdalena ambaye Bible inasema alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka alikuwa Changudoa kabla ya kukutana na Yesu. Na conspiracy theorists wanasema Yesu alikuwa anamtafuna na walifunga ndoa na kuzaa mtoto mmoja