Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

ukitengeneza sera ina maana sera inatengeneza mazingira mazuri kwa iyo biashara kwa iyo kama itahararishwa itafanyika katika mazingra mazuri na tahadhari ili kurinda tasiwira ya taifa na vizazi vyake
Kuhalalishwa kutafanya wanawake wabweteke wote wawaze hyo kazi na pia ni kama itashusha heshima zaid ya Sasa na pia ndoa hazitakuwepo. NARUDIA tena wakizihalalisha zitapoteza jamii kwa sana au we utafurah binti yako ajiuze kwa kuwa serikal imehalalisha??
 
katika andiko langu nilisema kila mtu asimame katika nafasi viongozi wa dini wachukue jukumu la kurinda maadili lakini ili swala ni kisiasa wala halina tatzo
 
Ni mfia dini, mfia dini ni mtu yupo tayari hata kufa akitetea dini.....
Saf umejibu vizur,ila ninaswali kwako ni jambogan lililokufanya use me kua jamaa yupoteyar kufa kisa din manake kwenye majibu take me nimeona kama mtu wa kat anaamin serikar,siasa na din ila cjaona sababu ya kumwita mfia din mbona profile take ajaweka picha ya yesu!
 
Ni mfia dini....sina maelezo ya ziada
 
Biashara ya ukahaba ni biashara kongwe duniani

Manabii wameikuta na wameiacha.

Umesema wanaojiuza ni wenye shida hasa single mamas na hapo hapo umesema hata waliopo serikalini wanajiuza.

Fafanua hapo zaidi
Kwa hiyo kama manabii walikuta watu wanafanya kafara ya kuchinja binadamu tuache iendelee kwa kuwa wameikuta. Tabia chafu zipigwe vita kwa sheria na vitendo kukamata na kuadhibu wahalifu. Ukahaba/prostitution ni uovu kama wizi na uuaji ulikuwepo tangu dunia kuumbwa laZma uendelee kupigwa vita.
 
nimekupata
 
Ahsante broh kwa msaada
 
Ni kweli lakini lilikuwa ni wazo kwa serikali watengeneze sera itakayokuwa na manufaa ata kwa serikali yenyewe

Hyo sera si kama tu kuhalalisha. Au nn maana ya sera??

ukitengeneza sera ina maana sera inatengeneza mazingira mazuri kwa iyo biashara kwa iyo kama itahararishwa itafanyika katika mazingra mazuri na tahadhari ili kurinda tasiwira ya taifa na vizazi vyake

katika andiko langu nilisema kila mtu asimame katika nafasi viongozi wa dini wachukue jukumu la kurinda maadili lakini ili swala ni kisiasa wala halina tatzo
Mbn unasema mara serikal iweke sera anyway ko unaona wala halina tatizo??
 
Mbn unasema mara serikal iweke sera anyway ko unaona wala halina tatizo??
Mimi nimeliweka katika mitazamo miwili tofauti ambapo kisiasa sioni tatzo lakini kidini halipo sawa ndo maana nimesema serikali ihararishe lakin viongozi wa dini pia wasimame katika nafasi yao
 
Mimi nimeliweka katika mitazamo miwili tofauti ambapo kisiasa sioni tatzo lakini kidini halipo sawa ndo maana nimesema serikali ihararishe lakin viongozi wa dini pia wasimame katika nafasi yao
Unataka kusema mama samia aseme ukahaba ruksa then aende msikitini aswali masheikh wasimjadili alichokisema au unahis bunge litapitisha kabisa et kisa dini na siasa zimetofautiana😂?? Haingii Akilini hata kidogo dini na siasa kwa nchi yetu havipishani ndo maana rais au kiongoz wa serikalin uwa anaapa kwanza kwa dini yake kabla hajaanza kutawala rasmi ko apo unaona dini inamaana gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…