Kelviboy
Member
- Sep 21, 2019
- 32
- 36
We sister cvizur kumwita MTU mfia din________Mfia dini pole....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sister cvizur kumwita MTU mfia din________Mfia dini pole....
Yuko huru na ndo maana halisi ya uhuruWe sister cvizur kumwita MTU mfia din________
Kavuka mipaka kama yupo hiru kwa chochote mwambie aupload picha na c videos zake wakipeanaYuko huru na ndo maana halisi ya uhuru
ilo nalo neno anyway tunatofautiana katika matumizi ya uhuruKavuka mipaka kama yupo hiru kwa chochote mwambie aupload picha na c videos zake wakipeana
Kuhalalishwa kutafanya wanawake wabweteke wote wawaze hyo kazi na pia ni kama itashusha heshima zaid ya Sasa na pia ndoa hazitakuwepo. NARUDIA tena wakizihalalisha zitapoteza jamii kwa sana au we utafurah binti yako ajiuze kwa kuwa serikal imehalalisha??ukitengeneza sera ina maana sera inatengeneza mazingira mazuri kwa iyo biashara kwa iyo kama itahararishwa itafanyika katika mazingra mazuri na tahadhari ili kurinda tasiwira ya taifa na vizazi vyake
katika andiko langu nilisema kila mtu asimame katika nafasi viongozi wa dini wachukue jukumu la kurinda maadili lakini ili swala ni kisiasa wala halina tatzoKuhalalishwa kutafanya wanawake wabweteke wote wawaze hyo kazi na pia ni kama itashusha heshima zaid ya Sasa na pia ndoa hazitakuwepo. NARUDIA tena wakizihalalisha zitapoteza jamii kwa sana au we utafurah binti yako ajiuze kwa kuwa serikal imehalalisha??
Ni mfia dini, mfia dini ni mtu yupo tayari hata kufa akitetea dini.....We sister cvizur kumwita MTU mfia din________
Saf umejibu vizur,ila ninaswali kwako ni jambogan lililokufanya use me kua jamaa yupoteyar kufa kisa din manake kwenye majibu take me nimeona kama mtu wa kat anaamin serikar,siasa na din ila cjaona sababu ya kumwita mfia din mbona profile take ajaweka picha ya yesu!Ni mfia dini, mfia dini ni mtu yupo tayari hata kufa akitetea dini.....
Ni mfia dini....sina maelezo ya ziadaSaf umejibu vizur,ila ninaswali kwako ni jambogan lililokufanya use me kua jamaa yupoteyar kufa kisa din manake kwenye majibu take me nimeona kama mtu wa kat anaamin serikar,siasa na din ila cjaona sababu ya kumwita mfia din mbona profile take ajaweka picha ya yesu!
Tatizo lako inaonekana we nimiongoni mwa wadada wazur ila mmekumbwa na janga la ubishi tan kama Neema/GraceNi mfia dini....sina maelezo ya ziada
Mi ni mwanaume, usirudie kuniita dadaTatizo lako inaonekana we nimiongoni mwa wadada wazur ila mmekumbwa na janga la ubishi tan kama Neema/Grace
Mi nachojua Evelyne ni wakike na asilimia kubwa ni pickarMi ni mwanaume, usirudie kuniita dada
Kwa hiyo kama manabii walikuta watu wanafanya kafara ya kuchinja binadamu tuache iendelee kwa kuwa wameikuta. Tabia chafu zipigwe vita kwa sheria na vitendo kukamata na kuadhibu wahalifu. Ukahaba/prostitution ni uovu kama wizi na uuaji ulikuwepo tangu dunia kuumbwa laZma uendelee kupigwa vita.Biashara ya ukahaba ni biashara kongwe duniani
Manabii wameikuta na wameiacha.
Umesema wanaojiuza ni wenye shida hasa single mamas na hapo hapo umesema hata waliopo serikalini wanajiuza.
Fafanua hapo zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nachojua Evelyne ni wakike na asilimia kubwa ni pickar
nimekupataKwa hiyo kama manabii walikuta watu wanafanya kafara ya kuchinja binadamu tuache iendelee kwa kuwa wameikuta. Tabia chafu zipigwe vita kwa sheria na vitendo kukamata na kuadhibu wahalifu. Ukahaba/prostitution ni uovu kama wizi na uuaji ulikuwepo tangu dunia kuumbwa laZma uendelee kupigwa vita.
Ahsante broh kwa msaadaSaf umejibu vizur,ila ninaswali kwako ni jambogan lililokufanya use me kua jamaa yupoteyar kufa kisa din manake kwenye majibu take me nimeona kama mtu wa kat anaamin serikar,siasa na din ila cjaona sababu ya kumwita mfia din mbona profile take ajaweka picha ya yesu!
Njo na hoja brohNi mfia dini....sina maelezo ya ziada
Biashara zote illegal Zina faida sana Lakin wakizihalalisha zitapoteza maana na kuharibu jamii:-
1.Ukahaba
2.Madawa ya kulevya et mihadarat na bangi
3.Viungo vya binadamu
4.Pornograph
5.na zingine zote zinazofanyka black market
So Acha watu wafanye kimykimy tu huku wakipata faida
Ni kweli lakini lilikuwa ni wazo kwa serikali watengeneze sera itakayokuwa na manufaa ata kwa serikali yenyewe
Hyo sera si kama tu kuhalalisha. Au nn maana ya sera??
ukitengeneza sera ina maana sera inatengeneza mazingira mazuri kwa iyo biashara kwa iyo kama itahararishwa itafanyika katika mazingra mazuri na tahadhari ili kurinda tasiwira ya taifa na vizazi vyake
Kuhalalishwa kutafanya wanawake wabweteke wote wawaze hyo kazi na pia ni kama itashusha heshima zaid ya Sasa na pia ndoa hazitakuwepo. NARUDIA tena wakizihalalisha zitapoteza jamii kwa sana au we utafurah binti yako ajiuze kwa kuwa serikal imehalalisha??
Mbn unasema mara serikal iweke sera anyway ko unaona wala halina tatizo??katika andiko langu nilisema kila mtu asimame katika nafasi viongozi wa dini wachukue jukumu la kurinda maadili lakini ili swala ni kisiasa wala halina tatzo
Mimi nimeliweka katika mitazamo miwili tofauti ambapo kisiasa sioni tatzo lakini kidini halipo sawa ndo maana nimesema serikali ihararishe lakin viongozi wa dini pia wasimame katika nafasi yaoMbn unasema mara serikal iweke sera anyway ko unaona wala halina tatizo??
Unataka kusema mama samia aseme ukahaba ruksa then aende msikitini aswali masheikh wasimjadili alichokisema au unahis bunge litapitisha kabisa et kisa dini na siasa zimetofautiana😂?? Haingii Akilini hata kidogo dini na siasa kwa nchi yetu havipishani ndo maana rais au kiongoz wa serikalin uwa anaapa kwanza kwa dini yake kabla hajaanza kutawala rasmi ko apo unaona dini inamaana gan??Mimi nimeliweka katika mitazamo miwili tofauti ambapo kisiasa sioni tatzo lakini kidini halipo sawa ndo maana nimesema serikali ihararishe lakin viongozi wa dini pia wasimame katika nafasi yao