Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Ni mtazamo tu tumeshajijengea lakini uhalisia ni kwamba nchi yetu haifungamani na dini yoyote
 
Kwa nilivyo muelewa nikwamba kunabaadhi ya viongoz/watumishi Wa serikar ambao wanajiusisha na biashara hiyo
Ukisoma vizuri swali langu utaelewa, hata mimi nilimuelewa kama ulivyoelewa,

Ndio maana nikauliza kama asema wanaojiuza ni watu wenye maisha magumu hapo hapo anasema hata viongozi serikalini wapo wanaojiuza pia,

Kwa hiyo tushike lipi hapo? Au viongozi serikalini na wao wana maisha magumu ndio maana wajiuza???
 
kama umesoma kile nilichokiandika nimesema asilimia kubwa ya watu wanaojiuza ni kwa sabab ya hali ngum ya maisha kwa utafiti wangu wa watu 20 wanaofanya hii biashara nikasema pia ingawa kuna watu wanaofanya hii biashara sio kwa sabab ya maisha magum bali ni kama burudani na kipaji chao
 
Upigwe vita na nani sasa wakati watu wanapenda?
Hujui ngono ndio yafanya tunazidi kuzaliana? Kama tusipofanya ngono si tutaisha na bado tutapata ugonjwa wa kucheka cheka,

Huwezi ikomesha biashara ya ukahaba, watu wanataka utamu, watu wanataka mijihelaaa.
 
Umeongea kwa uchungu[emoji23][emoji23]
 
Hakuna sababu yoyote ya kuwazuia madada poa,acheni watafute rizki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Huo mstari wa mwisho ndio haswaaaaa,

"Wanafanya kama Burudani" ndio maana halisi ya ngono, 'Burudani'

Mkiwa mnafanya hizo tafiti badala ya kuangalia nani na nani ajiuza na kujiwekea hitimisho mwenyewe ni vema muwafate walengwa na kuzungumza nao kinagaubaga, wao ndio watakupa majibu mazuri.
 
Noma sana, sasa mavyuoni huko hali ndio mbaya hatari..
 
Serikali ihalalishe tu hiyo biashara naichukue kodi kabisa
Haijafanikiwa 100% kuchuka kodi kwenye biashara halali, huko si itakuwa balaa! Labda wakusanyaji wa hiyo kodi wawe wanawake
 
Kwa nilivyo muelewa nikwamba kunabaadhi ya viongoz/watumishi Wa serikar ambao wanajiusisha na biashara hiyo
Kujihusisha kivipi?
Wanamiliki madanguro au ni wateja?
Malaya ukiwauliza polisi wakiwakamata na kuwapeleka kituoni nini hutokea?
Wanasema wakati mwingine nao polisi wanakula sukari wanawaachia au wanaomba hela wanawaachia ndio maana ni ngumu kuona Dada poa kawekwa ndani
 
Unataka upambane na biashara za watu ili iweje ?
 
serikali nayo ni wateja wakubwa wa dada poa
 
Serikali ihalalishe tu hiyo biashara naichukue kodi kabisa
kwani kuna shida gani watu wakiamua kutumikisha viungo vyao kwa pesa? wewe unaona wivu ama? aidha, kwani hiyo si staili tu ya utendaji? una takwimu za umalaya wa majumbani au kwenye ndoa wewe? kama sisi tunaojidai wangwana majumbani ni wema, magonjwa kama UKIMWI yanashamiri kwenye jamii yetu kwanini? tuache tamaduni za kinafki, Bongo ngono CHAFU (kama ipo) inapigwa kwa staili zote tu. mimi ninaona heri ya anaeweka wazi kuuza kuliko anaeuza indirectly. hizi za kutuma na ya kutolea, ukiitazama vema ni biashara ileile tu, sema ipo indirect. acheni watu waishi maisha yao.
 
Kumbe wewe huelewi jambo..kadri makanisa nanavyoongezeka na dhambi zinaongezeka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…