Hauwezi nunua shamba la million 22 ukapata hiyo pesa unasema, sababu mazingira halisi yanaonesha bei ya hivyo viwanja, na kwenye mauzo, ni makubaliano, kwamba mwenye mtaji anachukua asilimia fulani toka kwenye faida ya kila kiwanja na dalali anapata asilimia fulani, ila mwenye mtaji atakuwa juu kwenye faida inaweza kuwa asilimia 80% kwa 20% ni kutokana na makubaliano ya kaziMkuu, unahitaji mtu aweke sh 22m ili wewe uiuze kwa sh 35m sio? Ukifanikiwa kuuza sh 100m, 65m inakuwa ya...?
Madalali na pepo, ni pepo na jehanamu!
Hujashikiwa bunduki kumwita dalali ila tu hii ni bonge moja ya biashara, ukianza na mtaji wa 30mil. mdogo mdogo bila njaa lazima wakusome kwa mbali.Ila madalali bwana
Ukiwa na mtaji biashara ziko nyingi.Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1.
Dalali ericHujashikiwa bunduki kumwita dalali ila tu hii ni bonge moja ya biashara, ukianza na mtaji wa 30mil. mdogo mdogo bila njaa lazima wakusome kwa mbali.
😅😅😅 kiwanja hakina kipengele, kipengele labda uje nacho wewe tajiri.Dalali eric
Situmiagi madalali mie😅😅😅 kiwanja hakina kipengele, kipengele labda uje nacho wewe tajiri.
wauzaji wote wa viwanja kibaha, viwanja vyao havifiki ukubwa wa 400sqm. Kama wanavyo tangazaKwenye heka moja unapata viwanja 8 venye 500sqm, viwanja 10 vyenye 400sqm. Kama sijakosea, unapata 35mil. Kama uliwekeza 22mil. sasa faida ya kuuza vyote viwanja 10 ni 13mil....
Asante kwa hili mkuu.wauzaji wote wa viwanja kibaha, viwanja vyao havifiki ukubwa wa 400sqm. Kama wanavyo tangaza
wote wanauza viwanja vya ukubwa wa 225sqm, na hapa ndipo watu wanapo pigwa. unaambiwa kiwanja cha 20 kwa 20 bei milion mbili na unalipa kwa awamu!
Kuna wenyeji wanauza viwanja vya 20 kwa 20 =400sqm kwa Tshs 1,400,000 tu.
Nenda maeneo ya Mikongeni, viziwa ziwa, Mnemela, Mkalmbati. Kuna wenyeji wanauza hivyo viwanja
Unaweza lipa nusu, mkaandikiana mkataba baada ya muda unamaliza deniNipo hapa mkuu natamani hii biashara kwa moyo wote wote.....sema mtaji wangu bado mdogo mdogo maana huwez ukawa na milioni 22 alafu zote uwekeze ubaki sifuri.
Nipeleke kwenye hizi bei bosswauzaji wote wa viwanja kibaha, viwanja vyao havifiki ukubwa wa 400sqm. Kama wanavyo tangaza
wote wanauza viwanja vya ukubwa wa 225sqm, na hapa ndipo watu wanapo pigwa. unaambiwa kiwanja cha 20 kwa 20 bei milion mbili na unalipa kwa awamu!
Kuna wenyeji wanauza viwanja vya 20 kwa 20 =400sqm kwa Tshs 1,400,000 tu.
Nenda maeneo ya Mikongeni, viziwa ziwa, Mnemela, Mkalmbati. Kuna wenyeji wanauza hivyo viwanja
Nyingine ni vichomi,ya Ardhi haiozi Wala haipungui thamaniUkiwa na mtaji biashara ziko nyingi.
😅😅
Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1.
Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10, kama una dalali mzuri na matangazo ndani ya mwezi na nusu umemaliza heka. Piga hesabu utapata faida kiasi gani.
Kama unaitaji hii biashara basi karibu, mimi ni dalali nipo Kibaha nitakuongoza kila hatua.
Kama pia kuna mwenye kuweza tukakaa chini na kukubaliana kwa mikataba basi karibu tufanye kazi.
Mawasiliano yangu ni
0744757738/0784376888