Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Sasa hv Morogoro mchele unauzwa kiasi gani kwa gunia 1.?? Naomba unijuze mkuu..!!
 
Wewe ebu piga hesabu vzr, Dar Michele ni 1800 mpaka 2000rejareja.
 
Mkuu wewe unauzia wapi huo mpunga? Umekobolea Moro soko la kuuzia ni moro hapo hapo au sehemu tofauti?
 
Kama unapata mp ungawa kukoboa u pel eke upeleke mchele ni vyema zaidi
 
Shida inakuwaga soko
 
Binafsi nimefanya biashara ya kuchukua mchele Kahama na kuuza jumla na rejareja, ukieka garama za usafirishaji, kugrade, kodi ya pango, mlinzi, mfanyakazi, TRA, municipal nikaona hapa hakuna nachofanya. Na bei lazima angalau uendane na soko huezi kupandisha tuuu utakosa wateja.
 
Sio kiraisi hivyo
 
Mkuu umepangilia vyema...Ila umefanya kitu si kizuri kwenye biashara au mahesabu ya fedha.Umeunderstate costs na umeoverstate Outputs and price.so unapelekea kuoverstated REVENUE /mapato ya mradi husika
 
Nauza mafuta ya Alizeti kwa anayetaka aje pm kiasi chochote unachotaka.
 
Kwa mjini cjajua inalipa kias gani, ila kama unaweza hiki kipindi cha mavuno ungeingia mikoani ukanunua mazao yoyote unayokutana nayo kama mbaazi, mahindi na maharagwe japo msimu wake umepita. Afu uayapeleka mjini unakaa mpaka miezi ya9 unaanza kuuza rejareja na jumla utapiga pesa ackwambie mtu
 
Hizo mashine ni bei gani mkuu
 
Mkuu umepangilia vyema...Ila umefanya kitu si kizuri kwenye biashara au mahesabu ya fedha.Umeunderstate costs na umeoverstate Outputs and price.so unapelekea kuoverstated REVENUE /mapato ya mradi husika
Cost zote zinajulikana kiualisia,kama usafiri,chakula,malazi,wabebaji.kimsingi kutoa mzigo eneo husika mpaka kufika kwa mlaji au argent..so point ya msingi outputs...
 
Habari zenu wakuu

Mimi nina mahindi kilo 441 nauza. Kilo moja shilingi 1000/=. Nipo Kimara Dar. Mwenye kuhitaji namba yangu ya simu ni 0756-031-253. Mimi nayatoa Songea. Ila sihitaji udalali. Njoo na cash tufanye biashara.
 
Habari zenu wakuu

Mimi nina mahindi kilo 441 nauza. Kilo moja shilingi 1000/=. Nipo Kimara Dar. Mwenye kuhitaji namba yangu ya simu ni 0756-031-253. Mimi nayatoa Songea. Ila sihitaji udalali. Njoo na cash tufanye biashara.
Kama ulishindwa kuyauza mwezi january hadi april umeumia..sasa hivi mahindi dar es salaam ni tsh 780/=
 
Nataka nifungue duka la vyakula tu jumla na rejareja. Mchele, maharage, Unga etc. Kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ntapata hizo bidhaa kwa bei nzuri.

Plz nahitaji mawazo yenu.
 
Nataka nifungue duka la vyakula tu jumla na rejareja. Mchele maharage. Unga etc kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ntapata hizo bidhaa kwa bei nzuri.
Plz nahitaji mawazo yenu.
Mkuu fanya market survey kwa masoko yote yanayouza hivyo vyakula, baada ya hapo najua utapata jibu mwenyewe . Nenda tandika, mbagala, tegeta nafikiri pia Manzese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…