Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Sasa hv Morogoro mchele unauzwa kiasi gani kwa gunia 1.?? Naomba unijuze mkuu..!!Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele...iyo ndo inalipa...pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo ukikoboa..utapata kilo 700-720...kwa kilo utauza sh 2000,,hivyo utakuwa na income ya sh.1,400,000..karbu morogoro.