Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele...iyo ndo inalipa...pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo ukikoboa..utapata kilo 700-720...kwa kilo utauza sh 2000,,hivyo utakuwa na income ya sh.1,400,000..karbu morogoro.
Sasa hv Morogoro mchele unauzwa kiasi gani kwa gunia 1.?? Naomba unijuze mkuu..!!
 
Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele iyo ndo inalipa. Pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo ukikoboa..utapata kilo 700-720...kwa kilo utauza sh 2000, hivyo utakuwa na income ya sh.1,400,000..karbu morogoro.
Wewe ebu piga hesabu vzr, Dar Michele ni 1800 mpaka 2000rejareja.
 
Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele...iyo ndo inalipa...pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo ukikoboa..utapata kilo 700-720...kwa kilo utauza sh 2000, hivyo utakuwa na income ya sh.1,400,000..karbu morogoro.
Mkuu wewe unauzia wapi huo mpunga? Umekobolea Moro soko la kuuzia ni moro hapo hapo au sehemu tofauti?
 
Kama unapata mp ungawa kukoboa u pel eke upeleke mchele ni vyema zaidi
 
Mkuu usiwe mwoga kwe biashara na ujue ukitaka kufanikiwa kwe biashara lazima uwe risk taker otherwise huwezi fanya kitu kwa kuwa mwoga mm nimetoka chuo mwezi wa saba mkuu na ninafanya biashara ya mazao ingawa mm natafuta mahindi vijijini then nayaleta mjini nayakoboa na kusaga then nayafunga kwe viroba vya kg 25 naviuzwa kwa bei ya jumla then narudi zang vijijini kutafuta mahindi mengine just try mkuu ajira za makufuri mguu ndani mguu nje.

wish u all the best
Shida inakuwaga soko
 
Binafsi nimefanya biashara ya kuchukua mchele Kahama na kuuza jumla na rejareja, ukieka garama za usafirishaji, kugrade, kodi ya pango, mlinzi, mfanyakazi, TRA, municipal nikaona hapa hakuna nachofanya. Na bei lazima angalau uendane na soko huezi kupandisha tuuu utakosa wateja.
 
Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele...iyo ndo inalipa...pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo ukikoboa..utapata kilo 700-720...kwa kilo utauza sh 2000,,hivyo utakuwa na income ya sh.1,400,000..karbu morogoro.
Sio kiraisi hivyo
 
Mkuu umepangilia vyema...Ila umefanya kitu si kizuri kwenye biashara au mahesabu ya fedha.Umeunderstate costs na umeoverstate Outputs and price.so unapelekea kuoverstated REVENUE /mapato ya mradi husika
 
Kwa mjini cjajua inalipa kias gani, ila kama unaweza hiki kipindi cha mavuno ungeingia mikoani ukanunua mazao yoyote unayokutana nayo kama mbaazi, mahindi na maharagwe japo msimu wake umepita. Afu uayapeleka mjini unakaa mpaka miezi ya9 unaanza kuuza rejareja na jumla utapiga pesa ackwambie mtu
 
mkuu mimi c pingani na wewe but nataka kukushauri jambo moja,

- katika swala zima la biashara ya nafaka ni bora ukajikita katika ku ad value au kuongeza thamani ya hizo nafaka.

1. Ni bora ukawa na ofisi yako mjini na jaribu kuyaongezea thamani hayo mazo kama vile kugred na kupark kabisa. Hapo utakuwa umeongeza thamani na utauza kwa bei ya juu, na unaweza tafuta hata supermaket tano tu za kuwa sambazia.

2. Hili la kununua mchele kutoka mbeya na kuja kuuza dar kama ulivyo hakuna cha maana sana mtu nacho pata zaidi ya ujanja ujanja wa kuchanganya. Mtu anachukua mchele wa mbeya na kuchanganya na mchele wa morogoro
- hii biashara ya nafaka c kwa mba inalipa sana ila ni ujanja ujanja unao fanywa na wauzaji kwa kuchanganya changanya. Anaweza chukua gunia la maharage safi akachanganya na nusu gunia la maharage mabovu ndo business inaenda.

- ila hili la ujanja ujanja ni la muda sana na si endelevu.

So jitajidi upate hata mashine ya kupaki kwenye mifuko, mfano ukipata mashine moja inayo itwa heavy duty sealing machine ni nzuri sana unaweza ukawa na vibarua wako wa kugred na wewe ukawa unapaki na kuuzia watu wa supermarket.
Hiyo mashine niliyo kuambia ni ambayo ina silidi kama vile totopark zinavyo kuwa zimefungwa kwenye vile viloba.

Kuna kampuni moja ya kenya ina tengeneza vifungashio vizuri sana unweza cheki huko
Hizo mashine ni bei gani mkuu
 
Mkuu umepangilia vyema...Ila umefanya kitu si kizuri kwenye biashara au mahesabu ya fedha.Umeunderstate costs na umeoverstate Outputs and price.so unapelekea kuoverstated REVENUE /mapato ya mradi husika
Cost zote zinajulikana kiualisia,kama usafiri,chakula,malazi,wabebaji.kimsingi kutoa mzigo eneo husika mpaka kufika kwa mlaji au argent..so point ya msingi outputs...
 
Habari zenu wakuu

Mimi nina mahindi kilo 441 nauza. Kilo moja shilingi 1000/=. Nipo Kimara Dar. Mwenye kuhitaji namba yangu ya simu ni 0756-031-253. Mimi nayatoa Songea. Ila sihitaji udalali. Njoo na cash tufanye biashara.
 
Kama ulishindwa kuyauza mwezi january hadi april umeumia..sasa hivi mahindi dar es salaam ni tsh 780/=
 
Nataka nifungue duka la vyakula tu jumla na rejareja. Mchele, maharage, Unga etc. Kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ntapata hizo bidhaa kwa bei nzuri.

Plz nahitaji mawazo yenu.
 
Nataka nifungue duka la vyakula tu jumla na rejareja. Mchele maharage. Unga etc kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ntapata hizo bidhaa kwa bei nzuri.
Plz nahitaji mawazo yenu.
Mkuu fanya market survey kwa masoko yote yanayouza hivyo vyakula, baada ya hapo najua utapata jibu mwenyewe . Nenda tandika, mbagala, tegeta nafikiri pia Manzese.
 
Back
Top Bottom