Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Habar wana jamvi kama uzi unavyojieleza kutokana na hali ya maisha kubana sana nataka kuanzisha biashara ya nafaka nataka nianze kununua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi alafu nianze kununua mahindi ili niuze unga wa sembe wa jumla mwenye kujua mashine zinapopatikana na yanapopatikana mahindi na maharage kwa wingi na bei nzur anifahamishe.

Ahsante
 
Kuhusu mashine nenda sido utapata taarifa kamili
 
Sio jukwaa la lugha. Hapa hakuna kuremba mwandiko
 
Good bness...ukiwa nabei nzuri ntakua mteja wako
 
Boss tunaomba mrejesho tafadhali na sie tujifunze
 
Humu ndani yaani watu hawako serious kuna utototo mwingi sana, mwenzetu kaka na mada nzuri kuna wengine tunataka kupata maarifa pia lkn mnamkatisha tamaa na mwishowe inakuwa ni "Mizengwe Forum" na si Jamii forum iliyozoeleka ya uchambuzi yakinifu wa mambo.

Ikitolewa mada ya siasa na upuuzi mwingine mada itasapotiwa kweli lakini za kimaisha wapi.Tunaashindwa na vijana wenzetu nchi jirani leo hii Mtanzania wa leo ni wa Porojo Porojo tu.

Tubadilike maisha magumu blah blah hazitatufikisha popote.
 

Kweli kabisa mkuu
 
Ukifanikiwa nijulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…