Wahli
Senior Member
- May 30, 2017
- 111
- 110
Habar wana jamvi kama uzi unavyojieleza kutokana na hali ya maisha kubana sana nataka kuanzisha biashara ya nafaka nataka nianze kununua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi alafu nianze kununua mahindi ili niuze unga wa sembe wa jumla mwenye kujua mashine zinapopatikana na yanapopatikana mahindi na maharage kwa wingi na bei nzur anifahamishe.
Ahsante
Ahsante