Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Habar wana jamvi kama uzi unavyojieleza kutokana na hali ya maisha kubana sana nataka kuanzisha biashara ya nafaka nataka nianze kununua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi alafu nianze kununua mahindi ili niuze unga wa sembe wa jumla mwenye kujua mashine zinapopatikana na yanapopatikana mahindi na maharage kwa wingi na bei nzur anifahamishe.

Ahsante
 
Kuhusu mashine nenda sido utapata taarifa kamili
 
Sio jukwaa la lugha. Hapa hakuna kuremba mwandiko
 
Habar wana jamvi kama uzi unavyojieleza kutokana na hali ya maisha kubana sana nataka kuanzisha biashara ya nafaka nataka nianze kununua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi alafu nianze kununua mahindi ili niuze unga wa sembe wa jumla mwenye kujua mashine zinapopatikana na yanapopatikana mahindi na maharage kwa wingi na bei nzur anifahamishe ahsante
Good bness...ukiwa nabei nzuri ntakua mteja wako
 
Kwa mimi nakushauri kama huko vizuri ni heri ukajiingiza kwenye kilimo cha maharage,naongea hivyo sababu nina experience nayo japo kidogo,ni bidhaa inayowekeka lakini kwa kiasi kidogo unaweza pata pesa nyingi na haiumizi sana kichwa ukizijua basics,mimi ndio namalizia kupiga (kuchambua) niliyopanda mwezi wa nne ntaleta mrejesho hapa kiasi nilichopata kwa heka,unaweza kujifunza zaidi hapa,thanks.
Boss tunaomba mrejesho tafadhali na sie tujifunze
 
Humu ndani yaani watu hawako serious kuna utototo mwingi sana, mwenzetu kaka na mada nzuri kuna wengine tunataka kupata maarifa pia lkn mnamkatisha tamaa na mwishowe inakuwa ni "Mizengwe Forum" na si Jamii forum iliyozoeleka ya uchambuzi yakinifu wa mambo.

Ikitolewa mada ya siasa na upuuzi mwingine mada itasapotiwa kweli lakini za kimaisha wapi.Tunaashindwa na vijana wenzetu nchi jirani leo hii Mtanzania wa leo ni wa Porojo Porojo tu.

Tubadilike maisha magumu blah blah hazitatufikisha popote.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Habari wana jamvi kama uzi unavyojieleza kutokana na hali ya maisha kubana sana nataka kuanzisha biashara ya nafaka nataka nianze kununua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi alafu nianze kununua mahindi ili niuze unga wa sembe wa jumla mwenye kujua mashine zinapopatikana na yanapopatikana mahindi na maharage kwa wingi na bei nzur anifahamishe ahsante
Ukifanikiwa nijulishe.
 
Back
Top Bottom