Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Si kila mtu afanye unacho waza ww mwingine biashara yake ni kutoa mahindi kwa wakulima na kuleta mjini na kuwauzia wafanyabiashara wa mazao na wenye mashine.

Mchakato uko hivi, mkulima analima na kuvuna kisha anauza kwa wafanyabiashara wanao fuata mzigo wake shambani. Kisha huyo mfanyabiashara analeta mjini kuuza kwa wafanyabiashara wa nafaka wenye Fram na wenye mashine.

Sasa ukitaka kila mtu apaki kwenye mifuko unahis nn kitatokea? Anzia mkulima mpaka mfanyabiashara mwenye mashine. Kila kitu ni kutegemea sio kama unavyo fikiria ww.
 
Biashara gani sasa hiyo ya mwaka hadi mwaka,wakati watu wanaingiza pesa daily. muda ni kitu muhimu sana katika biashara.

OVA
@darubin said
 
Usiandike kitu usicho kuwa na uelewa wako. Uulize uambiwe sio kukurupuka tu. Njoo nikuonyeshe ni wapi natoa mahindi kwa hiyo bei. Kama huna uelewa na jambo flani ni bora ukae kimya tu.
Masihala[emoji54]
 
shida iko hapo mahindi yalijuwa dili kuliko mahindi serikali ilipoyazuia kutoka nje ndipo bei imepanda bt kingine kilichochangia inadaiwa kuwa ni kuruhusu mahindi ya zambia yaingie .....kumezidi kudondosha bei ya mahindi ya kwetu
 
kilicholeta shida ni kuzuia yasitoke nje lakini mbaya zaidi inadaiwa kuwa siha hakika mahindi ya zambia yanaingia so yanachangia kudondoshwa kwa bei ya mahindi yetu maradufu....na ambayo yakiingia hayaruhusiwi kutoka sasa km mm nataka kuyapitisha transit kwenda kenya au uganda sijui ntazuiliwa....[emoji40] [emoji40]
 
Mbona watu wanatoa mahindi kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…