Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Juz Katika Kikao Cha Wa Kuu Naona Wamekubaliana Kuondoa Tofaut Zao may B Neema Inaweza Kutokeakilicholeta shida ni kuzuia yasitoke nje lakini mbaya zaidi inadaiwa kuwa siha hakika mahindi ya zambia yanaingia so yanachangia kudondoshwa kwa bei ya mahindi yetu maradufu....na ambayo yakiingia hayaruhusiwi kutoka sasa km mm nataka kuyapitisha transit kwenda kenya au uganda sijui ntazuiliwa....[emoji40] [emoji40]
Nafikiri kwa mtazamo wangu tatizo ni soko ndiyo maana maindi yamekuwa kwenye bei hii!!siku hizi biashara iliyobaki ni kilimo... kila mtu amekuwa mkulima... mahindi yanayovunwa yamekuwa mengi sana kuliko zamani.... serikali iruhusu yauzwe nje
Yasharuhusiwa siku nyingi ila soko la Kenya lililotegemewa sana Mzambia kaingia truck mahindi yanatoka Zambia yakutosha, bado meli zilizotoka Brazil wakati wa uchaguzisiku hizi biashara iliyobaki ni kilimo... kila mtu amekuwa mkulima... mahindi yanayovunwa yamekuwa mengi sana kuliko zamani.... serikali iruhusu yauzwe nje
Kiro 640 × Na Ujazo Wa Gunia 100 = 64000
Na isipopanda wakulima hatutaweza kulima tena,acheni nomaWalaji wanaomba isipande
Kiro Nitakuzia 640Bado sijakuelewa. 640 × ujazo wa Gunia 100 ndio nn mkuu. Yaani kilo moja unauza shilingi 100 ama?
Mimi nafikiri mkuu kuna haja ya kuhitajika darasa kwa wakulima kuonfeza dhamani ya mazao yaoHii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
We jamaa mchawi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Usiwe naharaka ,hifadhi vzur tu...hii nchi imelaaniwa kwaiyo tulia.
Kiro Nitakuzia 640
Gunia Kawaida Linaujazo wa Kg 100
Ivyo Nitakuuzia Gunia 64000
Ungepata tenda kwenye taasisi za serikali ukayauza ungepata Pesa nzuri pia ,kama kwenye magereza,sema ela tu sio ya apo apo unasubiri kidogoBinafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara
Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Kama Upo Dar Ina Maana Nitakuletea Had Katk Ofisi ZakoSawa mkuu tusubiri yapande tutauza hiyo bei.
Kama Una Mtu Unajuana Nae Nionganishe NaeUngepata tenda kwenye taasisi za serikali ukayauza ungepata Pesa nzuri pia ,kama kwenye magereza,sema ela tu sio ya apo apo unasubiri kidogo
Kama Upo Dar Ina Maana Nitakuletea Had Katk Ofisi Zako
Nipatie namba yako pm.niwaunganishe ili kama itawezekana upate nafasi hiyoKama Una Mtu Unajuana Nae Nionganishe Nae
sasa mbona bei kwa mkulima na mchuuzi wa ndani imetetereka kuzui ili wenye kipato kidg waweze kumudu ni jambo zuriHii measure inatitwa food security, ku maintain food security lazima uthibiti bei na uuzwaji kiholela nje ya nchi husaidia wenye kipato kidogo kuendelea kuwa na chakula na wafanya biashara wa mahindi kuendelea kuwa na bei isiyo terereka
Good ideaHii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii bei ya unga dar ipi mzee, kilo 25 sasa hivi inauzwa mpka elfu 16. Tena watu hawalipi wanasumbua balaa
Upo serious mahindi bei yake ndiyo hiyo kwa sasa?27,000 mpaka 30,000 gunia la debe sita.