Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Hii measure inatitwa food security, ku maintain food security lazima uthibiti bei na uuzwaji kiholela nje ya nchi husaidia wenye kipato kidogo kuendelea kuwa na chakula na wafanya biashara wa mahindi kuendelea kuwa na bei isiyo terereka
 
kilicholeta shida ni kuzuia yasitoke nje lakini mbaya zaidi inadaiwa kuwa siha hakika mahindi ya zambia yanaingia so yanachangia kudondoshwa kwa bei ya mahindi yetu maradufu....na ambayo yakiingia hayaruhusiwi kutoka sasa km mm nataka kuyapitisha transit kwenda kenya au uganda sijui ntazuiliwa....[emoji40] [emoji40]
Juz Katika Kikao Cha Wa Kuu Naona Wamekubaliana Kuondoa Tofaut Zao may B Neema Inaweza Kutokea
 
siku hizi biashara iliyobaki ni kilimo... kila mtu amekuwa mkulima... mahindi yanayovunwa yamekuwa mengi sana kuliko zamani.... serikali iruhusu yauzwe nje
Nafikiri kwa mtazamo wangu tatizo ni soko ndiyo maana maindi yamekuwa kwenye bei hii!!
kwa wingi wa mahindi yalivyo mengi sidhani ndiyo sababu ya kuchuka kwa soko lake!
Zamani mahindi yalikuwa na soko kubwa kwa kipindi kama hiki mahindi yanakuwa kwenye bei ya kuridhisha.ila ishu imekuja baada ya mahindi kuzuiwa kutoka nje ya nchi na bahati mbaya kabisa mahindi ya Zambia yanaingia kwetu..Hili ni tatizo..kwa wanaotegemea mwezi wa 3 mahindi yatapanda watakuwa hawapo sahihi Mahindi sasa hivi ni mengi mmno na soko lake hakuna leo hii kuna sehemu debe wanauza elfu 3000[emoji28][emoji28] Njia pekee ni ku uza UNGA tu kama unataka faida.. HIKI KILIMO KILINISHINDAGA KUNA MAWILI KUPATA FAIDA AU HASARA SOKO LAKE HALITABILIKI...NALIMA YA KULA TU[emoji28][emoji28][emoji28]
 
siku hizi biashara iliyobaki ni kilimo... kila mtu amekuwa mkulima... mahindi yanayovunwa yamekuwa mengi sana kuliko zamani.... serikali iruhusu yauzwe nje
Yasharuhusiwa siku nyingi ila soko la Kenya lililotegemewa sana Mzambia kaingia truck mahindi yanatoka Zambia yakutosha, bado meli zilizotoka Brazil wakati wa uchaguzi
 
Hii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
Mimi nafikiri mkuu kuna haja ya kuhitajika darasa kwa wakulima kuonfeza dhamani ya mazao yao
 
Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara

Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Ungepata tenda kwenye taasisi za serikali ukayauza ungepata Pesa nzuri pia ,kama kwenye magereza,sema ela tu sio ya apo apo unasubiri kidogo
 
Ofisi ziko nyingi tu mkuu kwa Dar es Salaam mahindi hatununui hata kwa hiyo bei. Tunanunua kwa 450 kwa kilo. Mwanza Madalali wanapokea gunia la debe sita kwa 42,000.
Kama Upo Dar Ina Maana Nitakuletea Had Katk Ofisi Zako
 
wanatoa kwenda wapi kupitia boda gani labda kwa njia za panya hilo lawezekana nasikia sikia lipo lakini sirali....sijui
 
Hii measure inatitwa food security, ku maintain food security lazima uthibiti bei na uuzwaji kiholela nje ya nchi husaidia wenye kipato kidogo kuendelea kuwa na chakula na wafanya biashara wa mahindi kuendelea kuwa na bei isiyo terereka
sasa mbona bei kwa mkulima na mchuuzi wa ndani imetetereka kuzui ili wenye kipato kidg waweze kumudu ni jambo zuri
 
Hii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
Good idea
 
Back
Top Bottom