Mkuu bado upo tunduma hapoMr. Nameless na wengineo tafadhari wasiliana nami 0756752046. Niko tunduma (soko la mazao la kimataifa)
24000 mkuuMkuu bado upo tunduma hapo
Gunia la debe6 mahindi ni sh ngap hapo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna biashara mbaya kwa uchumi wa sasa kama kumkabidhi dalali mzigo wako tena wenye thamani ya 15 ml then uje kuchukua pesa after sijui 2 days mkuu acha kabisa hii kitu nenda sokoni mwenyewe epuka dalali utafilisikaLau ningekua ninaujua uwezo wa mtaji wako Kuwa kiasi chako kimefika 15. M ningekushauri ujiingize ktk biashara ya kufuata nafaka mikoani na kuleta hapo Dar ktk soko kama tandika wapo madalali wazuli huwa Wana pokea mali na baada ya siku 3 au 5 unakabiziwa pesa unaendelea na kufanya hiyo baada ya muda mfupi Utaona faida ya hili
Mkuu inshort kama mm nishafanya biashara ya mahindi mkuu nilikuwa nayatoa mbozi mlowo nayaleta iringa nasaga na kufunga mifuko ya kg 5 , 10, 25 na kimsingi nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa nilipata watu wa kuwasambazia hizo sembe tena kwa bei za jumla mkuu sasa kwa ww kama upo Dar nenda tandale pale kuna mashine nyingi sana za kuzalisha sembe pia kuna wateja wengi sana pale wananunua mahindi kama nafaka incase ukiona kuyasaga mwenyewe ni ngumu nenda pia kuna mashine zipo hapo tandale zinanunua mahindi au unaweza kwenda na mahindi yako ukayasaga ukafungishiwa kwe viroba ukaubeba unga wako incase una wateja lkn pia kama hauna wateja unaweza kuwauzia wao pia wananunua then hii kitu kwa sasa haihitaji mtaji mkubwa insuch way hata mil 4 au 5 utafanya kazi vzuri tu mkuu.Ninataka kuingia kwenye biashara ya mazao hasa nafaka Kama mahindi na mpunga, naomba ushauri wa source zenye low price lakini ubora wa juu wa mazao hayo humu nchini.
Lakini Pia naomba kujua masoko mazuri ya mazao hayo na jinsi ya kusafirisha kwa bei nafuu zaidi.
Mtaji wangu mdogo lakini ni bora kuanza kidogo kuliko kupotezea fursa.
Ni vzr ukaanzisha uzi wako itakuwa rahisi kuonekanaNdugu zangu wana jf mimi ni mwanachuo mwaka wa pili hapa dsm ninapenda sana kufanya biashara lakini nabanwa na mda sana nitumie fursa hii kuwaomba ndugu zangu mchango wa mawazo ni kitu gani ninaweza kufanya na bado nikaendelea na masomo yangu ninao mtaji wa laki saba 700,000/= tafadhali msaada jamani ninafikilia sana juu ya nini nifanye mpaka kichwa kinauma sasa kwa kuwa naamini wapo watu creative ndani ya jammiiforum watanisaidia mchango wa mawazo na ni kitu kipi nifanye kulingana na hali yangu ya uanafunzi
Wengi wamelizwa hasa kipindi hichi!Hakuna biashara mbaya kwa uchumi wa sasa kama kumkabidhi dalali mzigo wako tena wenye thamani ya 15 ml then uje kuchukua pesa after sijui 2 days mkuu acha kabisa hii kitu nenda sokoni mwenyewe epuka dalali utafilisika
Sent using Jamii Forums mobile app
Shika moja kwanza. Maliza masomo,haraka ya nini? Biashara zipo tuu siku zote.Ndugu zangu wana jf mimi ni mwanachuo mwaka wa pili hapa dsm ninapenda sana kufanya biashara lakini nabanwa na mda sana nitumie fursa hii kuwaomba ndugu zangu mchango wa mawazo ni kitu gani ninaweza kufanya na bado nikaendelea na masomo yangu ninao mtaji wa laki saba 700,000/= tafadhali msaada jamani ninafikilia sana juu ya nini nifanye mpaka kichwa kinauma sasa kwa kuwa naamini wapo watu creative ndani ya jammiiforum watanisaidia mchango wa mawazo na ni kitu kipi nifanye kulingana na hali yangu ya uanafunzi
Ninampango wa kuanzisha biashara ya mchele dar naomba kujua n mahali gan kunaeza kua na mzunguko mkubwa,garama na mtaji pia
Million mojauna pesa Cash kiasi gani.!? kama mtaji
Million moja